"Hii ni haki yake au ni udhalilishaji wa kijinsia?"

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Hii ni haki yake au ni udhalilishaji wa kijinsia?

401213_173232192782060_100002858424239_221530_2045740765_n.jpg
 
Mi bwana naona mtu akishaamua kutoka nje ya mahusiano yake ameamua kujidhalilisha na kumdhalilisha mwenzi wake. Mwenzi akifumania na akasababisha hayo hapo juu kwa hasira i'll cut him/her some slack. . . ni sawa na wale wanaofikia kuua tu.

Ila bado ni udhalilishaji!!
 
very nice... i like it. such is the price of infidelity. sasa naona na sie tuanzishe cheaters tz....a reality program dedicated to exposing the the UTAMU SHARING thats taking place in tz.
 
Hii picha ni ya siku nyiiingi..ili tukio lilitokea Southern Sun hotel Dar jirani na International House...kati ya Changudoa na Mwarabu baada ya Changu kutoridhishwa na malipo na kupambana na Mwarabu akiwa mtupu...
 
  • Thanks
Reactions: EMT

kwa hiyo siyo fumanizi la mke na mume wa mtu kama anavyodai mwanzisha mada ...?
 
Hata kama lakini tendo la Polisi kumtembeza uchi barabara ni kumdhalilisha!
 
watendee haki polisi.................... hawamtembezi barabarani, ila mwenyewe kaingia kwa hiyari barabarani akiwa hivyo, kufuatilia malipo yake toka kwa huyo mwarabu.................. hapo polisi wanawajibika tu kuwatia chini ya ulinzi wawili hao...............
 
mkuu EMT ...................kwa nini usingejitahidi kuweka hata kivuli tu kufunika hayo madidas manake humu pia kuna watoto wanapitapita........................ usije kuambiwa kuwa na wewe unamdhaslilisha!!...............
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hii picha ni ya siku nyiiingi..ili tukio lilitokea Southern Sun hotel Dar jirani na International House...kati ya Changudoa na Mwarabu baada ya Changu kutoridhishwa na malipo na kupambana na Mwarabu akiwa mtupu...

Ni kweli aiseee! Duh!
 
Hata kama lakini tendo la Polisi kumtembeza uchi barabara ni kumdhalilisha!

Mwarabu alikuwa anamkimbia CD, na ndipo CD akaamua kutoka nae mbio. Polisi waliingilia kati baada ya kuona watu hao wamekabana huku mmoja mtupu kwa chini na mwingine mtupu kwa juu.
 
Mi bwana naona mtu akishaamua kutoka nje ya mahusiano yake ameamua kujidhalilisha na kumdhalilisha mwenzi wake. Mwenzi akifumania na akasababisha hayo hapo juu kwa hasira i'll cut him/her some slack. . . ni sawa na wale wanaofikia kuua tu.

Ila bado ni udhalilishaji!!

utamdhalilishaje mwenzio unapotoka nje ya ndoa?

Si wote wanaotoka nje ya ndoa/mahusiano wanajidhalilisha, kuwadhalilisha wenzi au hata wazazi wao. Kutoka nje ya ndoa ni maamuzi binafsi kama vile ambavyo mtu anaamua kuolewa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa ujumla.

Kusema kuwa ni kudhalilisha na sawa na kujibinafsisha ukubwani kwa mtu asiyejua unapotaka, asiyekuelewa na asitake kufanya bidii ya kukuelewa, anayetaka kukumiliki.

Inapofikia mtu anatoka nje ya mahusiano lazima ni kwa minajili ya self satisfaction na sio kujidhalilisha. Unless anayetoka nae amdhalilishe.

Kutegemeana na sababu ya kutoka nje
 
Watu wanajibinafsisha pale wanapokubali kuwa mwili mmoja . Yatakayotokea baada ya hapo yanawahusu wote wawili mpaka watakapoamua kuachana. Ndio maana hata mmoja wao akifanya kitu cha ajabu atakua anaelezewa kama "mke/mume wa fulani kafanya hili au lile" badala ya kutajwa yeye mwenyewe. Lazima wahusishwe kuonyesha kwamba kuna muungano kati yao. Hivyo kama huyo mama anaetembea bila nguo barabarani ana mume, aibu yake ni ya mume wake maana ni rahisi zaidi watu kumhusisha kila watakapomhukumu mke wake.
 
Hii picha ni ya siku nyiiingi..ili tukio lilitokea Southern Sun hotel Dar jirani na International House...kati ya Changudoa na Mwarabu baada ya Changu kutoridhishwa na malipo na kupambana na Mwarabu akiwa mtupu...

Huyo polici aliyemshika CD naona anakwepa kuangalia masaburi asije akaadhirika bure:lol:
 
Watu wanajibinafsisha pale wanapokubali kuwa mwili mmoja . Yatakayotokea baada ya hapo yanawahusu wote wawili mpaka watakapoamua kuachana. Ndio maana hata mmoja wao akifanya kitu cha ajabu atakua anaelezewa kama "mke/mume wa fulani kafanya hili au lile" badala ya kutajwa yeye mwenyewe. Lazima wahusishwe kuonyesha kwamba kuna muungano kati yao. Hivyo kama huyo mama anaetembea bila nguo barabarani ana mume, aibu yake ni ya mume wake maana ni rahisi zaidi watu kumhusisha kila watakapomhukumu mke wake.

hakuna kitu iinaitwa mwili mmoja, wewe ni wewe na mwenzio ni mwenzio. Hiyo ni misemo tu sio reality.

Mama hajatembea bila nguo barabara, katembezwa bila nguo. Kadhalilishwa.
 
Back
Top Bottom