Nyengo3
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 517
- 1,291
Habari wana JF
Ni wazi sasa tunashuhudia kuongezeka kwa wimbi la maonyo, ukosoaji na kunyooshewa kidole na jumuiya mbalimbali za kimataifa.
Kipindi cha Nyerere hatukuona mambo haya. Kipindi cha mzee Mwinyi pia. Mzee Mkapa alisifika sana kwa kuinua uchumi wa nchi yetu. JK alitambulika kama mwanadiplomasia mahiri wa Afrika, mpaka akapewa tuzo ya kiongozi bora Afrika.
Miaka ya nyuma Tanzania ilipaa kimataifa katika nyanja mbalimbali kama vile; uchumi imara, uhuru wa habari, kukua kwa demokrasia, ustawi wa jamii n.k
Lakini katika kipindi cha Rais Magufuli, mambo ni tofauti sana! Je, kama taifa nini tufanye? Serikali ifanye nini?
Huko mbele sidhani kama ni SALAMA.