Hii ni fursa kwa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani Tanzania 2020

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,952
4,326
Vyama vya CHADEMA, ACT na NCCR vimejiondoa kwenye uchaguzi muhimu wa serikali za mitaa hata baada ya serikali kusalimu amri ya malalamiko yao kuhusu wagombea wao kuenguliwa kwa hila.

Yaani baada ya kuona serikali imesalimu amuri wakaona sasa ndiyo wakati wa kuibana serikali sawa sawa hadi ombi lao la kikatiba la tume huru ya uchaguzi litekelezwe mara moja, vinginevyo hawatarejea kwenye uchaguzi huo.

Kwa uamuzi huo wametoa fursa kwa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani 2020.
 
Tunawaona mtu na "SHOGA YAKE" katika ubora wao wa kupeana "UMBEA" baada ya kupewa 7,000/= ya bando.

Hizo MB mnazopoteza kuandikia "THREAD" za kipumbv ni bora mngetumia kudownload "VIDEO ZA X" mkajichua.
 
Vyama vya CDM, ACT na NCCR vimejiondoa kwenye uchaguzi muhimu wa serikali za mitaa hata baada ya serikali kusalimu amuri ya malalamiko yao kuhusu wagombea wao kuenguliwa kwa hila. Yaani baada ya kuona serikali imesalimu amuri wakaona sasa ndiyo wakati wa kuibana serikali sawa sawa hadi ombi lao la kikatiba la tume huru ya uchaguzi litekelezwe mara moja, vinginevyo hawatarejea kwenye uchaguzi huo. Kwa uamuzi huo wametoa fursa kwa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani 2020.

Nani anaijua CUF ya Lipumba?

Mnafeli sana!
 
Back
Top Bottom