Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

This is straightforward, kuna doctrine ya "right treatment". Umeshitakiwa kwa kuua, na umeua kweli, ni sheria inayokataza ni section 27, lakini prosecutor anakosea anasema anakushitaki kwa Section 17. Hii huitwa techn8cality, tundu la sindano, itamnyima haki maiti.

Kama hakuua hakuua ataachiwa, lakini kwa evidence, si kwa techn8cality. Soma mada hii hapa iko kwenye jarida la Chicago Law School 2002: "MUST LIKE CASES BE TREATED ALIKE?", by David A. Strauss

Bila hivyo kesi zote watashinda magaidi kwa kukosea Section tu. Watauza kes.i
LakininLGF Sheria iko hivyo haijatoa exception kwenye ugaidi!
 
Wrong citation which included incomplete citation
All parties seem to agree that the law exists but it was not amended in 2018- is this fatal to the extent of compromising either part's right in the long run?
 
all parties seem to agree that the law exists but it was not amended in 2018- is this fatal to the extent of compromising either part's right in the wrong run?
In our jurisdiction this is fatal, Kenya and Uganda is not.
 
Mashukuru Mkuu, na hiyo ni tafsiri worldwide. Nawasubiri waendesha mashtaka wa serikali maana wao hutunga tafsiri zao kwa manufaa binafsi.
sivyo sheria ya ugaidi inavyosema- kama unataka juwa wa msaada mkuwa mkweli na muwazi bila kuficha kitu ili upate
 
Nadhani wangejitoa awali kama ilivyo shauriwa na kina Lema hata haya ya leo tusinge yajua.

Maoni yangu ni kuwa waendelee kuexpose faults za mahakama kama kutakuwa na haja ya kujitoa wafanye hivyo huko mbeleni wakati hata sisi tusio wajuzi wa sheria tumeona haki isivyo tendeka.
Maagizo ni Mbowe afungwe maisha
 
Back
Top Bottom