Kuonyesha kuwa serikali imehusika na jambo hili hawa akina kiwete na pinda wangemiminika mhimbili kama wangekuwa hawajahusika lakini wamehusika na nafsi na shetani wao aliewatuma zinawasuta mioyo yao imejaa uovu na dhambi ndio maana wanaona aibu hata pole wanazotoa ni za kinafiki angalia walivyoweza kumdhibiti yule bibi (spika) hata bunge halijaruhusiwa kujadili issue ya dr ulimboka kwa kuwa wanajua reaction ya watu itakavyokuwa. Ninaichukia serikali ya ccm na viongozi na wafuasi wao wote.