Keynes
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 533
- 89
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya Knight Support,David Sutton akitishia kuondoka kikaoni kwa ghadhabu baada ya Kamishna Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Jenerali Matwani Kapamba (kushoto)kumueleza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Shamsi Vuai Nahodha(wa pili kulia)kuhusu kampuni yake,wakati waziri huyo alipotembelea kampuni hiyo ikiwa ni sehemu yake ya ziara kwa kampuni mbalimbali binafsi za ulinzi na uokoaji,Dar es Salaam
MI NAJIULIZA HAWA WATU HUA WANATOA WAPI HIZI DHARAU? MBONA NCHINI KWAO HAWADHUBUTU KUONYESHA DHARAU YA NAMNA HII? YAANI HATA MBELE YA WAZIRI?
AU LABDA KWA VILE NCHI YAKE INATOA MISAADA?
Wanajamii forum kweli misaada kutoka nje ina tudhalilisha sana. We need to stand for our dignity and our nation