Hii ni chance ya 1 for 1 milion.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
8aec11bceb6966eaac91dbfdfb457232.jpg


wanasema mapenzi yao yalianza darasa la 3 c lakini mpaka leo wanapendana.
 
Halafu nyie watoto wa siku hamna adabu na babu zenu? Nani kawaambia kuweka picha zetu
bila ridhaa yetu mnayemuona hapo ni mimi na bibi yenu tumetoka mbali sana
 
duh lakini si kuteremka kitonga tu kuna kupanda kitonga pia .. now days ukiishiwa tu tumekimbia
 
Back
Top Bottom