MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,172
- 23,975
- Thread starter
- #101
Mkuu;Kama umedurusu vizuri historia ya upinzani Tanzania huwezi kuwa dismissive kiasi hiki unless uwe kwenye denial. Tuliokuwepo kuanzia uchaguzi mkuu Wa kwanza Wa vyama vingi mwaka 1995 tunajua. Ni pattern kwa kila chama cha upinzani chenye nguvu kupotea kila awamu mpya inaposhika hatamu. Dr. Lamwai mwaka 1997 alirudi CCM kutoka NCCR Mageuzi, kina Kasanga Tumbo, Fundikira na wengine wote walirudi CCM.
Soma historia na usiwe mbishi kwa vile tu akili yako INA matamanio makubwa kwa upinzani
Ninakushukuru kwa kumpa maelezo zaidi.
Kama ni mtu mwenye nia ya kujifunza atajifunza lakini nina wasiwasi ni mmoja ya wale wanatumia mihemko katika kujenga hoja zinazotaka upembuzi yakinifu.