Hujaelewa andiko lakeNCCR Mrema alikuwa pandikizi mwisho tumeuona.
Lipumba,Mapalala,Babu Mihogo, hao wote waliwekwa kutuzuga wananchi. Kwasababu laiti kama walikuwa wapinzani kweli mbona hayajawakuta. Kama haya yanaowakuta wapinzani wa kweli Chadema na Ukawa?. Kawa Ccm inajiamini iweke tume huru na uchaguzi uwe huru sio kuwapiga wapinzani na kujisifia mitandaoni.