Hawajaamka kufungua.Bado wanaandaa kahawa ndani.Maduka chini yamefungwa au wako kwenye process ya ku demolishe?
Hawabahatishi.Siyo kama yale ya Kariakoo yaliyowaswekwa mkurugenzi na injinia lupango.๐๐๐๐Nimependa msingi ni imara sana
Lazima itakuwa hivyo.Na chini yake kutakuwa na "nyumba" ingine.Sijui mnaiitaje vile kwa kigogo?The "down-under" floor!๐๐Hapa kwenye msingi kuna reli kadhaa zimelazwa.