Hii ni aina mpya ya pilau awamu ya Magufuli

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
*Kuna aina mpya ya pilau imeingia, inaitwa pilau makinikia maana yake nyama unazitafuta kwa mbali sana na wakati mwingine usiambulie kabisa, chondechonde wenye mpango wa kutualika kwenye idd msitumie aina hiii.*
 
Mpaka uchinjue
 
Si unashukuru hata ukipata hiyo pilau makinikia kuna wanaokwenda kutafuta mapapai wapitishie mchana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom