Hii ni aina gani ya madini?

ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
1,739
3,407
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
 
Attachments

  • 1509342703948-1851042885.jpg
    1509342703948-1851042885.jpg
    555.5 KB · Views: 91
  • 1509342912125138214733.jpg
    1509342912125138214733.jpg
    60.5 KB · Views: 70
  • 1509343461755-706691314.jpg
    1509343461755-706691314.jpg
    53.6 KB · Views: 66
  • 1509343525208-565929080.jpg
    1509343525208-565929080.jpg
    421.9 KB · Views: 71
Hakuna madn hapo. Umeyaokota wapi hiyo n michanga ya uvinza
Leta kwangu nikuoneshe
 
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
Km ni madini basi, aidha tazanite, au bluesafire,
 
ruby.jpg
Mimi sio mtaalam wa Madini, peleka hayo mawe ofisi za Madini za mkoa watakusaidia....yanafanana na Blue Ruby....
 
Ungenyamza kimya ungeonekana una busara na hekima...kwa hiki ulichoongea unaonyesha ni jinsi gani wewe ni Mpumbavu!!
Usipanic
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
 
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
chupa ya sprite
 
Teh teh umeenda kulifukulia wapi hilo dini
Mwagia ndimu je kuna reaction.gani
Nipe mrejesho kabla hujatupa nauli nikujuze
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom