Sijui kama ni sawa kuliweka jambo hili hapa lakini naamini linagusa siasa na hasa siasa kuingilia vyombo vya utendaji.
Leo asubuhi nimeshuhudiwa kwenye TV bwana mmoja akihukumiwa miaka mitatu kwa kujifanya Afisa mwandamizi wa Usalama wa taifa.Hili halikunistua sana ila nilistuka kusikia kuwa alipata access ya kuingia mpaka kambi ya jeshi na akakirimiwa vilivyo!!!!!!!!!!!Hapo ndipo nilipostuka na ukiangalia ni kuwa Mkuu wa kambi ya jeshi alipata maelekezo kutoka kwa mkuu wa mkoa,AIBU!!!! Tangu lini ???
Ni lazima watu wawajibike kwa hili!!!!