Hii ni aibu UDOM

Ulamaa Hemed

Senior Member
Sep 21, 2012
159
16
Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo
 
Dah mbona sisi tunapiga muscle kama kawa? Tena leo tumegonga presentation
 
Ndo tatizo ya shule na vyuo vya kata, Komaa ndg mwisho wa siku test palepale na Ratiba ya UE iko palepale haibadiliki
 
lakn mbona vyuo vingne havilalamikiwi kama udom jamani ama ndo u-kata wenyewe huu? smthing is wrong!
 
mkuu angalia rank ya vyio bora afrika 2012-1213 kama udom kipo nimeangalia udsm ni cha 13
 
Wewe ndo huielewi ratiba ya UDOM, kama umezoea za Sekondari baba utajiju, Hiyo ndo Ratiba na subiri uone ya UE, ndo utachoka mwenyewe. Ka vipi we rudi zako home tu katulie
 
Wewe upo chuo wewe? College gani kwani? Ratiba zimetoka drafts kibao watu wanapiga hadi tests.
 
ieleweke tu ya kuwa chuo cha udom siasa ipo kila mahali siyo tu kwenye ratiba hadi pia kwenye suala zima la ajira kwa maana ya kuwa kama jina lako linasound kiislamu ni rahisi sana wewe kupata ajira hata kama vigezo havijatimia hali hii inasikitisha sana na kama itaendelea kuwa hivi itafikia hatua hata wahitimu wake wanaonekana kama wahuni tu wa kitaa kutokana na ubabaishaji unaoendelea sasa
 
Chuo kikuu cha dodoma kimefunguliwa th 22/10/ lkn ni ajabu mpk sasa hakina ratiba inayoeleweka ya masomo
kwa mujibu wa ulichoandika ratiba ipo ila haieleweki nakushauri urudi nyumbani chuo kitakapoanza kuitwa chuo kikuu cha Jakaya Mrisho Kikwete (ombi kutoka mwenyekiti wa ccm na wana ccm wa Dodoma) mambo yatakwenda sawa!
 
Back
Top Bottom