Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni aibu kwa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MWL MTZ, Dec 13, 2011.

 1. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa tetesi nilizozipata kutoka chanzo kimoja ni kwamba matokeo ya mitihani ya darasa la saba na form 4 ya mwaka huu yanayotegemewa kutoka hv karibuni ni kwamba kiwango cha ufaulu kimeshuka tena.hivi wizara haijui kwanini wanafunzi wanafeli?kwanini kila mwaka tulalamikie hili?
   
 2. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 509
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 80
  Hizo ni tetesi. Tusubiri tuone hali halisi.
   
 3. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tetesi hazina tofauti na khali halisi kaka, zimetoka jikoni tusubili tu,
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Kila kitu kinashuka siku hizi.....kasoro bei za vitu
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele!

  Unalo swali? Uliza!
   
 6. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wataya-standardize ili kuepuka aibu wewe.

  nani amekuambia watayatoa jinsi yalivyo? Kwa taarifa yako shule za kata zitaonyesha ufaulu wa hali ya juu, ili kuwakata ng'ebe CDM.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Tatizo mitoto ya siku hizi akili ni maji.
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yakishuka tena tutakuwa wa mwisho dunianai
   
 9. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hawawajali walimu wetu!
   
Loading...