Hii ni aibu kwa Waziri Shonza kushindwa kutofautisha kati ya Ngorongoro Heroes na Serengeti boys

Chakaza,
Mawaziri wengi na Manaibu wao katika awamu hii ni kichekesho, viroja na vihoja...!!
Kiukweli huyu Shonza hana sifa kabisa za kuwa N/Waziri. Tunajua ni kwanini alipewa Unaibu kama zawadi......baada ya kujenga hoja ya KUWAKOMOA Kina Halima Mdee na Esther Bulaya kwamba wafungiwe Vikao vya Bunge Mwaka mzima na hoja hiyo ikapita....!!!Ni uhuni mtupu.
Nakumbuka alitoa hadi machozi mpaka mkulu akamuonea huruma, aisee kuna watu wanajua kuigiza. Kilangila.
 
Mawaziri MAZWAZWA Mkuu.

Akijibu swali bungeni ameipongeza Serengeti boys kwa ushindi wakati timu ya vijana iliyoshinda mechi juzi ni ya vijana ya Ngorongoro Heroes kwa kuifunga DRC.

Kama Naibu waziri hajui hata timu shiriki ni ipi je uwezo wa kusimamia timu zetu kuleta ushindi itawezekana?

Kweli hawa mawaziri wetu hawapo makini kweli kweli. Na sio kasema kwa bahati mbaya ni kuwa kaitaja Serengeti boys zaidi ya mara tatu.
 
Mkuu yapo mema mengi yanayoendelea, siku zote serikali zetu hufananishwa na tambara la kupigia deki.

Nimekwambia kuwa kubadili mentality ya watanzania kwenye masuala yanayotuhusu sio suala la siku moja au mbili.

Unaweza kuwalaumu mawaziri wengi tu lakini cha muhimu ni kuangalia aina ya jamii tuliyonayo.

mentality za watanzania zinahusu nn ktk hyo niliyobainisha? serikali inapaswa kubadili sera na kuweka mikakati na kujihusisha kwa karibu kuhakikisha sekta iz zinapiga hatua ...usitake kuniambia hta kujenga miundo mbinu ya michezo inahitaji mentality za watanzania au kuboresha mashindano ya umitashumta na umiseta kunahitaji mentality ya watanzania, na vp khs kukomesha wizi wa kazi za wasanii napo kunahitaji kubadilisha mentality ya watanzania? kwa wenzetu wanaojua umuhimu wa iz sekta wanatoa hadi ruzuku ili sekta iz zipige hatua.....all in all mwakyembe na hyo shonza wapo pale kwa ajili ya kupiga porojo ilimradi siku ziende! hakuna la maana wanalofanya
 
Ebu ngoja kwanza.....
Yaani asubuhi yote hii umekaa unaangalia TV....
apa mjini ndugu yangu wewe unaingia kazini wenzako wanatoka kazini, wewe usiku umelala fofofo wenzako wapo kazini ndio kwanza kumekucha, kila mtu na ratiba zake wanaofanya kazi viwandani watakua wamenielewa vizuri.
 
Kazi zenyewe ziko wapi mkuu? Hushangai asubuhi yote hii mimi na wewe tupo kijiweni hapa JF tunapiga story tu? Nipe tofauti yetu na yeye ni ipi? Sisi wote ni majobless.
achana nae uyo anajua kazi kuuza duka tu unafungua asubui unafunga jioni, hajui muda ambao yeye amelala fofofo anakumbatiana wanaume wapo nje walinda usalama wake, wengine wanakesha viwandani, wengine walinzi kwenye makampuni mbalimbali.
 
Akijibu swali bungeni ameipongeza Serengeti boys kwa ushindi wakati timu ya vijana iliyoshinda mechi juzi ni ya vijana ya Ngorongoro Heroes kwa kuifunga DRC.

Kama Naibu waziri hajui hata timu shiriki ni ipi je uwezo wa kusimamia timu zetu kuleta ushindi itawezekana?

Kweli hawa mawaziri wetu hawapo makini kweli kweli. Na sio kasema kwa bahati mbaya ni kuwa kaitaja Serengeti boys zaidi ya mara tatu.
CCM hawajawahi kuwa na kumbukumbu wala akili. Zote huwa wanaziacha kwenye bukta.
 
Back
Top Bottom