Hii ni Aibu kwa wasomi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Aibu kwa wasomi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 25, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu
  shule hii inahitaji msaada,kwani kwa jinsi inavyo onekana serikali ya kijiji na watu wake wameitelekeza shule hii,kwa wale mnao kaa kijiji cha korotambe -Tarime mnaweza kuifahamu vyema shule hii na nadhani wapo watu ambao kwa sasa wanauwezo mkubwa tu wakifedha na wamesoma shule hii

  wakati naangalia habari ITV shule hii madarasa yake hayana madawati,milango na hata vyoo vyake vinaonekana ni vya mbavu ya mbwa,angalia bati lake,hivi mbunge hayaoni hayo?

  IMG_20120426_012942.jpg IMG_20120426_012949.jpg

  hii ni aibu kwa wasomi wetu
   
 2. V

  Visionmark Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi napenda tu nikushukuru kwa kuonyesha kujali na kuguswa na hali ya hii shule na tambua kuwa shule za namna hii bado zipo nyingi sana ndani ya nchi yetu. Hivyo ni suala la kupanga na kuchagua! Mchango wangu ni kwamba, nawaasa watanzania wote kuwa kasi na nguvu tuitumiayo kuchangia sherehe za harusi hebu sasa tuihamishie ktk uchangiaji wa maendeleo na ustawi wa elimu nchini mwetu!
   
Loading...