Tujadili kwa hoja mkuu, lugha uliyotumia si yakiungwana, mtake radhi mleta hojaWe ulitakaje mwehu nini
Tujadili kwa hoja mkuu, lugha uliyotumia si yakiungwana, mtake radhi mleta hojaWe ulitakaje mwehu nini
We ulitakaje mwehu nini
Nashindwa kuelewa mstakabali wa elimu ya bongo na mapokeo ya ICT

Nimejuzwa na ipo katika matangazo ya Chuo kikuu huria cha tanzania kwamba kinatoa mafunzo ya awali ya computer kwamba wahitomu watapata vyeti.

Masomo wanayotoa ni Introduction to Computer,Ms Word nk

Swali hivi kama haya yanafundishwa na chuo kikuu je kule chekechea wanafundishwa nini?

Nimesikitika sana!

labda nimeelewa vinginevyo
here comes Kiranga againNi makosa kufikiri kwamba introduction to Computing ni somo lisilofaa kufundishwa chuo kikuu. Nafikiri ni umasikini wetu tu unaotufanya tupaone chuo kikuu kama sehemu fulani ya ajabu. Nakubali inawezekana ukatakiwa kuwa na basic computing knowledge ku enroll katika a computer science program - and even that is not necessary- lakini vipi kama mimi nimekuja kusoma sociology na sihitaji kujua computing zaidi ya the basics?
Wewe ulitaka wafundishe nini? Computer Programming na Artificial Intelligence ?
Kuna watu wengi tu ambao taaluma zao hazihitaji kujua computer zaidi ya level hiyo ya introduction, na wako chuo kikuu kusoma mambo mengine. Kwa kuchukua kozi hii itawasaidia kujua computer kwa level wanayoihitaji tu, na si zaidi.
Zaidi ya hapo, vyuo vikuu kibao nchi zilizoendelea vinatoa certificates za introductory computing, as a matter of fact nilikuwa namsaidia mzee mmoja mstaafu, yeye hataki kujua mambo mengi sana ya computer, anataka kujua kutumia internet vizuri tu ili ku research mambo ya afya yake na dawa anazotumia. Kaenda chuo kikuu cha karibu, kajisajili katika evening classes, kahitimu course hizo hizo za introduction to computing, zinamfaa.
Tatizo letu hatuangalii elimu kama a practical tool to help us in life, tunaangalia elimu kama some abstract glorified credential held at the top of unrealistic ivory towers, not to be tarnished by the actual needs of everyday people.
Ndiyo maana mpaka leo vyuo vikuu vyetu havijai kibaba, tunaona chuo kikuu ni sehemu moja ya ajaaabu.