Hii ni adhabu? Au life goes on.

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Watoto hawa wanaonekana wapo katika shughuli zao za kawaida.
 

Attachments

  • kls-wmkccm.jpg
    kls-wmkccm.jpg
    43.2 KB · Views: 167
pheeeeeeeeeeeew! nimekumbuka utotoni, enzi zile mvua na radi inapiga we ndo kwanza unatoka nje kukimbia na kucheza kwenye mvua
 
Huo ni Uhalisia zaidi , maisha ndivyo yalivyo. Tulioondokana na adha hiyo tujenge misingi ya kujali wengine hii ni hapo kenya. Soma picha. Enzi ya ujima bado ipo miongoni mwa AFRICA. nashauri tuzibuke kuona mwanga mbele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom