Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,938
- 93,824
Okay,
kuota ndoto ukiwa ktk chumba cha mtihani, ni kwamba ulimwengu wa kiroho unakuonyesha wewe kuwa kuna Level ya maisha unataka kuifikia, changamoto ni wakati wa mitihani inapokukabili PHYSICALLY.
Ama huwa unafeli mitihani ama huwa unachoka kusubiri then unaliacha kusudi na kujichanganya na mambo mengine ambayo hayawezi kukufikisha kwenye stage unayoitaka.
Hivyo lazima utaendelea kuwa ktk chumba cha mtihani shule ya sekondari.
Hii ndio tafsiri sahihi, mleta mada shika hii....
Tafsiri hii hii imekuwa ikifundishwa pia na wanazuoni wa mambo ya kiroho