Winner Magele
Member
- Jan 9, 2013
- 86
- 49
Habari waheshimiwa? Jana usiku nimeota ndoto,nikaona asilimia kubwa ya Makanisa yaliyopo wilaya ya temeke yana hari duni kiuchumi,pamoja na wachungaji wao wanao yaongoza,lakini wakati huo huo nikaona Makanisa yaliyoko wilaya ya Ilala na kinondoni yamefanikiwa kiuchumi pamoja na wachungaji wao,ukweli nilipo amka nikaona kama kuna uhalisia na picha hiyo haijanitoka mpaka sasa.