KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,554
- 1,919
Habari wana jamvi. Natumaini nyote mu wazima, mwenzenu mambo si shwari
Mimi tangu utotoni nilikuwa naota napaa angani karibu kila siku. Wakat mwingine niliota nimepaa ili kuvuka mito mikubwa, mashimo au mabonde marefu na hata bahari nk.
Nilipotezea kwa kuwa niliona kawaida maana siku nyingine nilikuwa nikita nawavusha watu mmoja baada ya mwingine kupita sehemu zenye hatari, au kuwakimbia wanyama wakali na watu wabaya. Hali hii imeendelea kunitokea mpaka sasa ukubwani.
Kuna jamaa nilimuuliza maana yake akaniambia nina kipaji cha kuhubiri nikaona hajatoa facts za kutosha nikampuuza. NB: Nilikuwa na mpango wa kuwa padre zaman nikapitia seminari ila nikafukuzwa na nikaona wito sina nikaanza maisha mengine.
KIBOKO IMEKUA LEO. Usiku nimeota napaa angan kama ndege kwa umbali naotaka, cha ajabu nilikuwa na nguvu mpaka nang'oa miti mikubwa bila tatizo, kibaya zaidi nilikua na mwanamke mrembo aliyeonekana kuwa mpenz wangu. Nikawa sivuji damu ata nikiumia
HII NI NINI NDUGU ZANGU? MAANA NIMECHANGANYIKIWA SASA.