Hii ndoo raha ya kupanda mpapai nyumbani maana unaanza kufaidi tunda tangu linakomaa..

Mungu anakuona ulieweka picha...hamna noma,wiki now sijaona nyumba halafu unanionesha gonjwa langu
Gonjwa lako papai? mbona mangi anauza buku tu ebu kanunue mkuu usije ukakata roho,
Usibaki na hamu zako kama F.A
 
Back
Top Bottom