Hii ndoa hainipi amani

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Habari Zenu Wadau

Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani

Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze

Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki

Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje

Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani

Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa

Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara

Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa

Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
 
wanawake wengi wanapopata watoto huonesha mabadiliko makubwa sana ndoani, mapenz yao makubwa huyaelekeza kwa watoto na hili husababisha migogoro ya mara kwa mara ndoani.

mwanaume ukishaliona hilo unapaswa kuanza upya kushow love kwake kana kwamba ndo kwanza mmefahamiana ili u-refresh her mind, hii husaidia kuufufua upendo na maisha hurejea sawia.
 
Kuna kajamaa kanakusaidia kumla we hata hushtuki.?

Wanawake wanachanganywa na vtu vidogo sana, kama ushawah kuwa na mahusiano na mke wa mtu utajua.

Unamchekea sana mke wako, sometimes bila makofi hawaelewi,
Labda nizidishe Uchunguzi Mkuu, lakini simu Yake nafuatilia hakuna shaka yoyote
Asante
 
Simu? Labda kama unamfungia ndani 24 hrs,
Kama haumfikishi ataona kama unamsumbua, af kakitokea kahuni kanapiga hata show ya 1hr kanamridhisha utafungua nyuzi jf mpaka uchoke
Kwahiyo nifanyeje Nijue Mkuu Mzoefu Wa Haya Mambo
 
Back
Top Bottom