Hii ndo website ya Tanzania yetu kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo website ya Tanzania yetu kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dark City, Jun 28, 2011.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nimejaribu kufundua wavuti ya Taifa na kukutana kitu hiki hapa chini. Ni tatizo la PC yangu au ni kweli tumefulia kiasi hiki??

   
 2. Fisadi Mkuu

  Fisadi Mkuu Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mnafikiri mnawachafua lakini mnawapa uwezo wa kufikiri na hawajaufikia kabisa wangeweza fanya hivyo hata hali yetu isingekua mbaya hivi.
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hivi huyu Salva na wenzake hawawezi kuwaomba akina Max wawasaidie?

  Sasa kama JK anatafuta wawekezaji usiku na mchana, watakujaje Tz kama chanzo kikuu cha taarifa za nchi kimevamiwa na virus???
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  natamani niichakachue
   
 7. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  hawafanyi kitu bila kusokonyolewa kichwani na bila kuwajadili jf.
   
Loading...