Hii ndo UDOM!

Vunjavunja

Member
May 18, 2012
92
11
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.
 
Kwani UDOM si ndio ngome ya baba Riz au!? imekuwaje tena???
 
Udom imeanzishwa kwa pupa hivyo Kuwait an enrollment kubwa kuliko uwezo wa serialized kulipa mikopo, ni Muda muafaka kuangalia financing ya higher education in tanzania
 
Ndo plan ambazo serikali yetu hnajivunia kwa mambo ambayo yanawatia haibu kama hii mimi sina imani na serikali ya CCM imekula fedha zote za bajeti sasa hazina haina kitu.
 
Toka juzi uongozi wa chuo ulikua na vikao vya ndani kujadili kuhusu hilo swala la wanafunzi kutopata mikopo yao,na agenda nyingine ilikua swala la Mracha kufukuza ovyo wahadhili na majibu yake yasiyokuwa ya kistarabu na maadhimio yao ni pamoja na hilo la kufunga chuo ifikapo tarehe 4 na kumuandikia Rais kutengua uteuzi wa Mracha kuongoza taasisi hii.
 
Kama haya ni ya kweli basi mimi nitawashangaa wanafunzi wa UDOM, watakuwa ni wehu waliopindukia kuendelea kusubiri hadi tar 4 June bila chakula. Halafu hata chuo kikifunga hao wanafunzi wataendaje kwao. Maana kwa hakika hata nauli hawana sasa, utaongeleaje kufunga chuo? Watakwenda wapi baada ya kufunga chuo? Anyway ni idea nzuri pia maana inaweza ikawa ndiyo chanzo cha kuangushwa kwa serikali hii ya kihuni.
 
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.

Wameyasema wapi? una ushahidi wa kutuaminisha hayo? au ni ufataani wako tu.
 
Kuishiwa wanachuo kabla ya wakati wa kupokea boom au kutokujiwekea akiba, anayepaswa kulaumiwa ni wanachuo wenyewe na kama jamii haitawanyooshea vidole, hali itaendelea hivi hivi. Hawa wanachuo wanapaswa kupewa elimu mbadala juu ya kutumia na kutunza fedha, tukumbuke hiki ndio kizazi kinachoandaliwa kuja kutumikia nchi hii. Ikiwa leo mtu anashindwa kuishi sawa na kipato anachopata, unategemea nini atakapopewa dhamana ya mali ya umma. Hawa wanachuo tatizo kubwa kwao sio kiasi cha fedha wanachopokea wala muda wa kupokea, tatizo linalowakabili ni jinsi gani ya kutumia fedha ulizonazo, hakuna fedha zinazotosha. Hawa vijana wakipokea BOOM wanakuwa mabillionea wa ghafla, kutoka UDOM kwenda town wanakodi TAXI ambayo inagharimu sh. 10,000/=; wao ndio wateja wakubwa wa club, mpaka clouds FM nao wameamua kutumia club ya laziz kupiga disko na utasikia promo yao wanawalenga wanachuo (jana nimesikia wanasema hata kama una mitihani, weka kitabu pembeni kwanza ngoo ule bata). Jamii tugeuze vidole na kutafuta elimu mbadala kwa vijana wetu juu ya kutumia fedha wanazopata na kujiwekea akiba, vinginevyo tunazalisha mafisadi wakubwa kuliko hawa tulionao katika kizazi cha sasa.
 
kama mpaka sa hizi ela ya boom hamjapata hyo ela ya field itakuaje.. Vyuo vya kata bnah
 
Umewah kuuonsa utawala wa kidikteta???
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.

au unahorojoka????koz ya njaa zako
 
Kama haya ni ya kweli basi mimi nitawashangaa wanafunzi wa UDOM, watakuwa ni wehu waliopindukia kuendelea kusubiri hadi tar 4 June bila chakula. Halafu hata chuo kikifunga hao wanafunzi wataendaje kwao. Maana kwa hakika hata nauli hawana sasa, utaongeleaje kufunga chuo? Watakwenda wapi baada ya kufunga chuo? Anyway ni idea nzuri pia maana inaweza ikawa ndiyo chanzo cha kuangushwa kwa serikali hii ya kihuni.

maswali yako yamekaa kimahesabu sana,,,,,na hayana majibu mepesi,,,,ngoja tuwasubir wana udom watupe majibu
 
Toka juzi uongozi wa chuo ulikua na vikao vya ndani kujadili kuhusu hilo swala la wanafunzi kutopata mikopo yao,na agenda nyingine ilikua swala la Mracha kufukuza ovyo wahadhili na majibu yake yasiyokuwa ya kistarabu na maadhimio yao ni pamoja na hilo la kufunga chuo ifikapo tarehe 4 na kumuandikia Rais kutengua uteuzi wa Mracha kuongoza taasisi hii.

mlacha na kikula hao wanadhan hiyo ni taasis yao,na mtambue kuwa jk huyu hana ubavu wa kuwaondoa hao,,,kwakua wameianzisha udom ikiwa pori basi wao anadhan ndo ya kwao,,,,,
kuhusu boom,what i know jana kwenye magazet heslb wamesema akaunt yao inasoma 0
 
Back
Top Bottom