Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

Wewe nakufananisha na Rafiki yangu Mmoja wa utotoni ambaye anaitwa MATA na kuna Siku alinikera kweli nikaamua kumkomoa niliponunua KONI na kuanza kumringishia kwa mbali aje aichukue: "MATA KONI YAAKO NJOO UCHUKUE!!!"

USHAURI WA BURE TU KAMA D KNOB: "ELIMU MITAANI DOT COM MNAIONAJE UUUUAAAA!"
 
kumbe nilipita chuo bora eeeeh!

Na ndo maana unawazidi maisha wote waliopitia vyuo vya kata si ndio hee?

Mtoa mada where is my mzumbe japokuwa nayo magumashi tu kama vyuo vyote vya bongo,

Back to topic

Thanks to God nimepata chance ya kutembea tembea na kujua ukweli bongo tulivyo nyuma kielimu, maendeleo na kila kitu,, hoping one day mtoa mada nae atapata chance ya kutembea kuona mambo yalivyo kwa wenzetu kisha afute kauli yake kimya kimya
 
Huwezi kufananisha Kondoo na Mbuzi hata kama wote ni wanyama wanaocheua; Umejiuliza maswali ya msingi kwamba vyuo hutofautiana kwa courses. Kwa mfano SUA ni cha kilimo utalinganishaje na UDSM, MUHAS ni cha afya unalinganishaje na IFM? Acha kulinganisha aliyevaa kaputura na mwingine suti yupi amependeza bila kuangalia mazingira gani? Hujui ukivaa suti shambani kila mtu atakushangaa hata kama utakuwa mahili kwa kulima.

Bora umemwambia huyu msomi-jinga. Aweke wazi vigezo alivyotumia kwenye ranking yake. Au aweke chanzo cha taarifa kama ranking si zake!
 
wenye fedha nchi hii hata baba yako mwenyewe hajasoma kwenye vyuo ulivyoviona vizuri tanzania.Nitafute nikuajiri na nikulipe vizuri kuliko popote pale utakapofanya kazi though nimesoma kwenye vyuo ulivyoviita vya kata.

soma UDSM,UDOM ,IFM,CBE.SAUT etc kichwa chako ndo jiko lako kukupa na kukupikia kila unachotaka nje na ndani ya nchi.KILAZA

MKUBWA WEWE,Ningepata profile yako ungejuta kuzaliwa.

FUNGUA AKILI YAKO ACHA KUWAZA KWA MAZOEA
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
Kwenye field ya Accounts & Finance hakuna chuo kama MZUMBE na IAA Arusha
 
Kweli ukweli mchungu!mie ntakusapoti kupitia SAUT,ukifka hapa bwana utachoka,hakuna vile vitu vinaitwa optional kozi na
 
semina zao hawana s/leaders badala yake wanafunzi wanajiongoza wenyewe ksha wanasubmit ...nilikosoma mie sikuyaona haya.
 
Kijana nchi hii inabidi uwe na network. Hayo mambo yalikua miaka ya nyuma, wewe leta majigambo ya chuo ulichosoma. Wenzio waleeeee wanatoka tu.
 
None sense...... Ubora wa kitu gani? Kama ktk vyuo dhaifu uneshindwa kutaja MMU (Morogoro Muslims University), basi hii mada haifai.
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

yani wewe wakati wenzako wanafikiri kwa kutumia kichwa na kukaa kwa kutumia matak...wewe ni inverse kabisa..unakalia kichwa na kufikiri kwa kutumia matak...hakuna chuo bora bali kuna mwanafunzi bora..
 
wa2 wamegraduate UDSM ila wako kitaa wanahaha na wa vyuo vngne wamelamba ajira.wat matterz uelewa wa m2 na c chuo.
 
Ubora wa vyuo vikuu hupimwa kimataifa kwa kutumia vigezo malumu kitaalamu si na washabiki wa vijiweni au na wacheza bahati na sibu au wapiga ramli
 
Back
Top Bottom