Hii ndo top ten ya mabeki hatari wa kulia na kushoto...

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,506
Tofauti na zamani mabeki walikuwa wanakaba tuu ila sasa mambo yamebadilika sasa hivi mabeki wa pembeni ni kama mawinga.. tucheki hapa top ten ya mabeki wa pembeni hatari...

1:marcelo_ huyu balaa lake linajulikana .sihijtaji kuelezea chenga zakeee na krosi zake ila balaa lake linajulikana....

2:david alaba :
Club:buyern Múnich.. Huyu jamaa ni mnigeria anayechezea Austria.. jamaa akipanda na mpira ni hatari sana ukiachana na kipaji chake....

3:joldi Alba
Club :Barcelona :...huyu bwana ni mabeki wa kushoto wenye spidi na maamuzi ya haraka akipanda mbele ni balaa..

4:Alex Sandro
Club :juventus : huyu jamaa tunaweza kusema Kuwa kaja muda mbaya team yake ya taifa ni brazil. na huko anacheza na mbaya zaidi Marcelo... Sandro ni mzuri kupandisha team hana mbwembwe kama Marcelo ila ni balaa...

5:dani alves
Club: Psg.. huyu jamaa ni mmoja kati ya mabeki bora wa kulia wa muda wote akiwa anapanda mchunge sana maana hafai huyu jamaa....

6:dani carvajal
Club:real Madrid... huyu jamaa yeye anasema role model wake ni Dani alves.. ndo maana hata uchezaji wao unafanana ila ni balaa nadhani mashabiki wa real mnamuelewa...

7:Joshua kimmich
Club :buyern munchen...huyu jamaa ni chipukizi wa ujerumani na buyern.. jamaa anatabiriwa Kuwa atafanya makubwa siku za mbeleni... Huyu nae sio poa

8:thomas munier
Club:psg kwa wale walioangalia World cup la urusi nadhani walimuona huyu mbelgiji.. jamaa anajua kushambulia vibayaa mno..

9:marcus Alonso
Club :chelsea.. huyu dogo anatabiriwa makubwa sana siku za mbeleni.. nadhani mnaona anavyokiwasha palé darajani.. ni mtaalam wa faulo ..

Benjamín mendy
Club :man City.. huyu jamaa alikiwasha sana upande wa kushoto akiwa Mónaco ya kina mbape iliyofika nusu final uefa mbape kwa sasa yupo psg kwa mkopo.. Guardiola hakuwa mjinga kumchukua huyu jamaa.. ana krosi tamu sanaa japo msimu uliopita aliumia....

Nyongeza :benjamin pavard
Club :stugart..
Luke shaw
Club :manchester united..
gadiel Michael
Club :yanga wa kimataifa...muite Marcelo wa bongo
 
Gabriel Michael: Timu Yanga fc Tanzania! huyu akiamua kupanda anakiwasha hatari! tunategemea afanye makubwa wakikutana na mkia fc sept 30
mkuu gadiel ni Marcelo wa bongo.. tunasubiri akiwashe jpili
 
Back
Top Bottom