Uchaguzi 2020 Hii ndo sababu CCM wanakwepa kuzungumzia Dhahabu kwenye kampeni zao

Pole sana.
Unaamini polls zinazompa Msaliti Lissu ushindi na wala hata huhoji source lakini zinazoonyesha ameshindwa mapovu ya OMO yanakuwa mengi sana eti leta gazeti!! Tarehe 28/10/2020 mtakufa na stress mjiandae sawa sawa!!
 
Unazungumzia miaka 50 wakati wewe umezaliwa miaka ya 90!! Utawezaje kujua kama kuna maendeleo au la? Waulize wazazi wako wakati tunapata uhuru Tanganyika ilikuwaje na sasa Tanzania iko je? Kuna tofauti kubwa sana kati ya 1961 na 2020 katika maendeleo ya nchi hii. Ni mjinga tu ambaye anaweza kusema kuwa hakuna kilichofanyika pamoja na changamoto kibao tulizopitia ikiwemo vita ya Idd Amin pamoja na kuwasaidia ndugu zetu wa SADC kujikomboa toka kwa wazungu.
Mwinyi miaka 10,mkapa miaka 10,JK miaka 10,JPM miaka 5 Jumla mia,ka 35,walifanya nini ainisha,au walisaidia ndugu zetu sadc? Rwanda walipigana Vita vya wenyewe kea wenyewe leo Rwanda inakimbilia kuwa Europe. CCM Hamna pa kujishika Ila jiteteeni tu,ikifika 2025 kuelekea 2030 mtakuwa KANU
 
Mwinyi miaka 10,mkapa miaka 10,JK miaka 10,JPM miaka 5 Jumla mia,ka 35,walifanya nini ainisha,au walisaidia ndugu zetu sadc? Rwanda walipigana Vita vya wenyewe kea wenyewe leo Rwanda inakimbilia kuwa Europe. CCM Hamna pa kujishika Ila jiteteeni tu,ikifika 2025 kuelekea 2030 mtakuwa KANU
Tanzania huwezi linganisha na Rwanda wewe!! Hili Taifa kubwa!! Labda nikuulize umezaliwa lini?? Ili nikueleze kulingana na umri wako nisije nikaeleza vitu vingine kumbe hata mimba yako ilikuwa haijatungwa!!
 
Tanzania huwezi linganisha na Rwanda wewe!! Hili Taifa kubwa!! Labda nikuulize umezaliwa lini?? Ili nikueleze kulingana na umri wako nisije nikaeleza vitu vingine kumbe hata mimba yako ilikuwa haijatungwa!!
Kama ulikula Ile unga wa yanga, utakuwa mdogo wangu tena kwa mbali Sana. Pia haijafika Rwanda. Tatizo ni uelewa wako unatokana na masomo uliyosomea.",Art"
 
Baada ya kuingia madarakani serikali ya awamu ya tano mwaka 2017 ililitangazia Taifa na dunia azma yake ya kurekebisha sekta ya madini nchini hususan dhahabu.

Ikaunda tume Mbili za Osoro na Mruma, zikaja na matokeo ya kitafiti na maazimio yaliyotikisa nchi.
Miongoni mwa matokeo hayo ni amoja na:

(1) kwa miaka yote ambayo Acacia amefanya kazi nchini wameunder declare madini wanayo chukua (yaani walikuwa wakichukua madini mengi kuliko wanayotuambia)

(2)Ukiachilia mbali dhahabu kwenye makinikia, walikuwa wakituibia madini mengine kama vile nickel, cobalt na rare earth metals

(3) Kwamba makadirio ya wizi huo ni takriban dola za kinarekani bilion 190, ambayo ni kama shilingi za Kitanzania zaidi ya Trilion 420 na ushehe

Serikali mwaka 2017 ikatunga sheria na ikaweka vitu vifuatavyo:

1. Makinikia yatakuwa hayasafirishwi nje ya nchi, makampuni yatatakiwa kuchenjulia hapahapa

2 Mikataba yote ya madini lazima ipitishwe bungeni

3. Kesi zinazohusu madini yetu lazima ziamuliwe kwenye mahakama za Ndani

Licha ya uwepo wa sheria hiyo ambayo profesa Kabudi alijitapa nayo sana lakini serikali yenyewe ikaivunjilia mbali kwenye makubaliano yake na Barrick kwa mfano:

(1) Barick wakaruhusiwa kuwa wanachukua makinikia na kuyapeleka nje

(2)Mkataba wa Barick na serikali haukuelekwa bungeni

(3) Mkataba wa Barick na serikali unawaruhusu kufungua kesi za migogoro nje ya Tanzania

Katika muktadha huo inashangaza kidogo

1. Kwanza unafahamu hawa watu wamekuibia zaidi ya Trilion 420, kwa nini ukubali settlement ya dola milion 300 tu, ambayo ni sawa na shilingi bilion 690 (0.69 Trillion), ambayo ni pesa mbuzi kulinganisha na Trillion 420?

2. Kama hawa unajua kuwa ni wezi na ushahidi unao, kwa nini uendelee kufanya nao kazi in the first place kwa nini tusidai matrillion yetu kwanza halafu tutafute watu honest tufanye nao biashara?

3. Kwa nii uvunje sheria zako mwenyewe ulizojiwekea ukiamini hizo ndo zitakazolinda utajiri wako?

Kutokana na maswali haya magumu si ajabu kuona CCM wanakwepa sana kuzungumzia ishu ya madini maana inawavua nguo

Kwa uchambuzi zaidi wa hili suala, angalia mahojiano haya, wameyaelezea vizuri sana hayo:


View attachment 1574899
Ni aibu hadharani ni mabeberu nyuma ya pazia ni mabwana mkubwa!
 
Tanzania huwezi linganisha na Rwanda wewe!! Hili Taifa kubwa!! Labda nikuulize umezaliwa lini?? Ili nikueleze kulingana na umri wako nisije nikaeleza vitu vingine kumbe hata mimba yako ilikuwa haijatungwa!!
Ingekuwaje kampeni za CCM bila kusomba watu na kupeleka wasanii?
 
Ukistaajabu ya Sheria za madini,utamshangaa JK aliyekuwa Rais Sasa mke na mtoto ni wabunge wa CCM. Ukiwa unastaajabu ya JK utamshangaa Mwinyi mtoto wake anagombea Urais Zanzibar na watoto wengine wa kwake wanagombea ubunge Zanzibar. Ukiwa unastaajabu mzee mwinyi ,utakutana na mtoto Lowasa waziri mkuu Mstaafu, Fred Lowasa anagombea ubunge monduli. Ukiwa unastaajabu Mzee Lowasa, utakutana na mtoto wa waziri mkuu Mstaafu mzee Pinda anagombea ubunge kupitia ccm.watanzania bila kujali itikafi zetu mnajifunza nini?
Na kule Mwanga mtoto wa Msuya anagombea ubunge.
 
Unaamini polls zinazompa Msaliti Lissu ushindi na wala hata huhoji source lakini zinazoonyesha ameshindwa mapovu ya OMO yanakuwa mengi sana eti leta gazeti!! Tarehe 28/10/2020 mtakufa na stress mjiandae sawa sawa!!
Njozi njema kwenye mkeka wa kijiweni lumumba.
 
Daaah,Magufuli hakupaswa kuwa Rais nchi hii!

Hii inathibitisha vetting ya nchi ya kudanganyika ni mbovu mpaka basi

1. Jiwe ana historia mbaya ya kuoneaonea hadi familia yake
2. Jiwe ameuza nyumba za serikali ya nchi ya Wadanganyika hadi nyumba nyingine kugawa kwa michepuko
3. Jiwe amenunua kivuko magumashi
4. Kashfa zote za 10% kwenye ujenzi mabarabara
5. Jiwe kaleta hasara kwenye meli za samaki
6. Jiwe kasitisha kandarasi kibabe na hatimaye kusababisha wadanganyika walipe fidia ndefu kwa kushindwa kesi mahakamani.

Mii nashangaa Intelijensia ya nchi ya Kudanganyika yoote haya inayafahamu lakini ikampitisha mtu wa aina hii awe raisi wa nchi hiyo!

Ndiyo maana anawadanganya wadanganyika, na kwa kuwa kwenye nchi ya kudanganyika kudanganywa ndiyo sifa yao kuu basi Jiwe anajipatia wafuasi wa kutosha hasa wale waliosomea ujinga!
 
Amini nakwambia, hakuna mtu tapeli kama Jiwe. Huyu mzee tukimwondoa hapo October ndo tutajua mengi. Ingawa Tundu Lissu kasema hatolipa kisasi na atamtunza vizuri Kama Raisi mstaafu ila amini nakwambia machafu yake yakija kuwekwa wazi watu wanaweza andamana kutaka aondolewe kinga ili ashtakiwe ! The guy is simply so evil
Naona dalili za kung'ang'ania madarakani ili afie hapo tusije tukajua mauchafu yake!
 
Dawa yenu ni tarehe 28/10/2020 watz wanawachinjia baharini na msaliti wenu. Ulipashwa pia kujiuliza kuwa Msaliti Lissu alisema tutashitakiwa Miga. Sasa tumeshitakiwa??!!

Ushitakiwe kwani ulichukua kipi cha mzungu? Maana mpaka sasa waowao ndio wanaochimba hayo madini.
 
Afadhali CCM wanauzoefu kuliko Saccos tumewapa ruzuku kwa miaka mitano kila mwezi million 300+ zote wamekula hata kujenga ofisi wameshindwa pia michango ya wabunge nayo wamekula. Tukiwakabidhi Hazina ya Taifa si watahamisha pesa zote kwenda kwa mabeberu ya Ubelgiji???!! HATUWEZI FANYA UJINGA HUO.

Pitia ofisi zote za ccm na viwanja vya mpira ilivyorithi toka mfumo wa chama kimoja, kisha uje utoe mrejesho viko kwenye hali gani. Tena itapendeza sana ukianza na kiwanja cha Ally Hasan Mwinyi huko Tabora. Kisha ukimaliza huo mrejesho uje tujadili ofisi za cdm.
 
Back
Top Bottom