Hii ndo raha ya kushinda makombe "yenye akili" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndo raha ya kushinda makombe "yenye akili"

Discussion in 'Sports' started by Anselm, Aug 22, 2012.

 1. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mabingwa wa kusakata kandanda ukanda mzima wa Africa Mashariki Dar Young Africans almaaruf kama Yanga hivi sasa wapo Kigali kuitikia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame.
  Habari zilizothibitishwa zinasema Rais Kagame amefikia hatua ya kuialika team hiyo Ikulu kwake ili aweze kuwaona Vijana waliothubutu kuchukua miaka miwili mfululizo mkwanja wake anaouweka kila mwaka katika mashindano ya Club bingwa Africa Mashariki na Kati, ikumbukwe Rais Kagame ndo mfadhili mkubwa wa mashindano haya na ndo maana sasa hivi yanatumia jina lake "Kagame Cup" pamoja na mwaliko huo Yanga inategemea kuweka Kambi kwa wiki 1 na kucheza mechi kadhaaa za kirafiki katika nchi hiyo ikijiandaa na msimu mpya wa Ligi kuu ya Tanzania bara.
  Ikirudi kutoka Rwanda,Yanga inatarajiwa kutinga Ikulu ya Tanzania kuitikia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ambaye amewaalika kupata nao chakula ikiwa ni katika kuwapongea kwa kazi yao kubwa waliyoifanya ya kuliletea sifa Taifa katika mchezo wa soka.
  Kazi kwao sasa "waosha vinywa" ambao waliongea sana wakati Spika wa bunge la Jamhuri Mh Anna Makinda alivyowaalika Yanga bungeni ili apate kuwapongeza, nafikiri sasa watakubaliana na dhana nzima ya anayefanya vizuri katika level za kimataifa anastahili kupongezwa.

  Namalizia kwa kusema hii ndo raha ya kushinda ma'kombe yenye akili,unapata fursa ya kutembelea hata Ikulu ya nchi nyingine na kupata nafasi ya kula chakula na Kiongozi Mkuu wa nchi.

  Wazee wa "Ujirani mwema Cup" na "ABC Cup" labda tuzungumze na Diwani wa kata ya Kariakoo ili awaalike na nyie mkapate Chakula naye kwenye kale ka'restaurant ka Wasomali pale Kariakoo Congo street.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,024
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Imetulia hiyo.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,685
  Trophy Points: 280
  duh kombe la Kinesi
   
 4. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Ni kweli Yanga wanastahili kupongezwa kwa kazi nzuri walizofanya katika kombe la Kagama kwa miaka miwili mfululizo.

  Lakini ikumbukwe Simba imeshatwaa kila kombe lenye akili na lisilo la akili, kimataifa, kitaifa, kikanda na hata kimtaa.

  Jambo la msingi ni kwamba nahisi Manji na Yanga watasaidiana sana maana kila mmoja anajua kumtumia mwenzake.
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ndo inavyotakiwa,hii ndo inaitwaga "team work spirit" it works better than one side kama wanavyofanya Viongozi wa Simba.
   
 6. Transkei

  Transkei Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wazee wa jangwani nyie ongeeniiiii ila me nikikumbuka zile 5 yani ni raha kweli kweli........
   
 7. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kaka hiyo chorus mbona imeshapitwa na wakati!! huna nyingine bora ungesema mmepata makombe mawili ya chandimu:baby:
   
 8. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  huo wimbo aliowapa rage kuja kustuka hata jengo lishauzwa na rage na nyange
   
 9. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Umeona enh,am feeling sorry for them!
   
Loading...