kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,887
Habari wakuu...
Kikubwa tunachokitazama kwa sasa kwa nchi zetu hizi changa ni mbinu za kuzifanya ziondokane na umasikini
Hii ndo njia pekee ya kupunguza umasikini nchi hii
Kwanza tuna rasilimali za kutosha cha kwanza ambacho tunapaswa kufanya ni:-
1.kuanzisha mkakati wa kila rasilimali zenye thamani kubwa kama madini mafuta na gas, gorvernment ownership iwe ni 100% au hata 50% maana mfano tu ingekua ges yetu ni government ownership kwa 100 au 90% kwa makampuni yake tungekuwa mbali sana kwasababu mitungi na hiyo ges ingeuzwa na hiyo pesa ingeingia kwenye government mapato yangekua ni makubwa sana yaani matrilioni tofauti na sasa ambavyo kwa mfano ges yetu wanamiliki wawekezaji ambapo serikali inafaidi kodi tu ambayo ni jambo baya sana
Hii hali ipo hivi ni kama vile umekodisha jengo mtu akaweka supermarket kubwa ambayo kwa mwezi anapata faida milioni kumi lakini wewe kodi yako unalipwa elfu 50 tu ndivyo ilivyo kwa uwekezaji wa sasa
Bila kuvuruga mikataba iliyopita ilitakiwa rasilimali mpya zinazogundulika kwa sasa mafuta ges na madini ziwe gorvernment ownership kwa zaidi ya 50%
Tusipofanya hivi tutapata wapi mapato?Mfano Saudia arabia,Qatar,Brunei ni mifano tu ambapo government ownership kwenye rasilimali za mafuta na gas ni kubwa sana
Hii ndo njia pekee ya nchi kupata mapato
2.Kuinua sekta ya kilimo
Serikali ipambane tuwe na kilimo cha kufa na kupona huku kukiwa na mkakati wa kutafuta soko la ndani na la nje ya nchi yetu
3.Kuinua sekta ya utaliii
Kuutangaza utalii wa Tanzania kwa nguvu zote
4.TISS ya kiuchumi
Kuiboresha taasisi ya usalama kuanza kushugulika na ujasusi wa kiuchumi sio wa kisiasa tu wabase na kwenye uchumi pia
5.Kuwekeza kwenye elimu ya ujasiriamali na teknolojia
Lazima tuwekeze kwenye elimu ya kivitendo mfano utengenezaji wa bidhaa na teknolojia ifundishwe kwa vitendo toka darasa la kwanza
6.Kujenga viwanda na uwekezaji
Viwanda ni roho ya uchumi kupitia viwanda tutakua tunapata kodi kubwa sana na ajira za kutosha
Mkakati wa viwanda ni kuhakikisha kila balozi wa Tz katika nchi mbalimbali wanaleta wawekezaji nchini kwa mfano Kuna nchi 50 duniani zilizoendelea na zinaendelea kwa kasi duniani tunaweza tukaleta mkakati kuwa kila balozi wa tz katika nchi husika kwa mwaka apambane alete wawekezaji 200 ambavyo ni viwanda 200 kila mwaka na ambaye hawezi aache kazi na iwe ni kama kiapo au vigezo vya kuwa balozi wa Tanzania katika nchi nyingine
Piga mahesabu kila balozi wa tz akileta viwanda 200 ukipiga tukipata kwa nchi hizo 50 kwa mwaka ni viwanda 10000 kwa miaka mitano ni viwanda 500,000 hapo ni kwa nchi 50 tu zilizoendelea hapo sijaweka nchi nyingine
HUO NI MTAZAMO WANGU NABS MIXED ECONOMY ...Nadhani hii itapunguza kama sio kuondoa umasikini tz