Hii ndo kete aliyocheza Maalim Seif yenye akili

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,427
32,196
Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu

Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim kuunganisha umoja ambao utaendelea kuwapa homa ccm itafika mahali vyombo tetezi kwa ccm vitachoka maana wao wenyewe wanaimarisha upinzani imara bila kujijua

Act kuna Maalim na Zitto

Chadema kuna Mbowe na lissu ,lema na john heche pamoja na mnyika na viongozi wanawake wenye nguvu.

Nafikir hapo juu unaona serikali ya ccm inachotengeneza bila wao kujijua maana huku chini kuna wafuasi kamili wana mabadiliko.

Game changer!
Siku zote kuna mabadiliko tu - what you do na mabadiliko unayokumbana nayo ndo muhimu... Naona Maalim Seif kaamua kama kapinduliwa ye anapindua meza. Yaani hata ofisi za CUF ni private property? Sasa CUF itabaki na nini?

Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.

Hongera sana Maalim Seif kwa uamuzi sahihi muimalishe upinzani imara sasa tunategemea kupata watu wenye akili.
 
Sheeia mpya ya vyama vya siasa umeisahau ndugu yangu? Chini ya sheria hiyo hakuna kitu kinaitwa ukawa. Tatizo mnajidanganya sana yaani hadi mnatia huruma.
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala hadi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukawa sio lazima utangazwe wanaweza kugawana maeneo tu

Hata ccm wanajidanganya hamna jambo la milele ni suala la muda tu tuombe uhai muda unavyosogea jamii inazidi kutoa ujinga
 
Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu

Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim kuunganisha umoja ambao utaendelea kuwapa homa ccm itafika mahali vyombo tetezi kwa ccm vitachoka maana wao wenyewe wanaimarisha upinzani imara bila kujijua

Act kuna Maalim na Zitto

Chadema kuna Mbowe na lissu ,lema na john heche pamoja na mnyika na viongozi wanawake wenye nguvu.

Nafikir hapo juu unaona serikali ya ccm inachotengeneza bila wao kujijua maana huku chini kuna wafuasi kamili wana mabadiliko.

Game changer!
Siku zote kuna mabadiliko tu - what you do na mabadiliko unayokumbana nayo ndo muhimu... Naona Maalim Seif kaamua kama kapinduliwa ye anapindua meza. Yaani hata ofisi za CUF ni private property? Sasa CUF itabaki na nini?

Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.

Hongera sana Maalim Seif kwa uamuzi sahihi muimalishe upinzani imara sasa tunategemea kupata watu wenye akili.
Muda si mrefu utauona ubinafsi wa viongozi wa chadema!
 
Sheeia mpya ya vyama vya siasa umeisahau ndugu yangu? Chini ya sheria hiyo hakuna kitu kinaitwa ukawa. Tatizo mnajidanganya sana yaani hadi mnatia huruma.
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala hadi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua maana ya ukawa. Ukawa haikuwa chama ni makubaliano ambayo bado wanao uwezo wa kuifanya mfano wanapogombania jimbo labda Temeke wanapiga kampeni kwa pmj na kumwachia chama mojawapo kugombea. Ndio maana ya ukawa hivyo io sheria yenu haitaiathiri muungano wao
 
Sheeia mpya ya vyama vya siasa umeisahau ndugu yangu? Chini ya sheria hiyo hakuna kitu kinaitwa ukawa. Tatizo mnajidanganya sana yaani hadi mnatia huruma.
CCM ni chama dume na kitaendelea kutawala hadi milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaejitia unaielewa hebu tueleze inasemaje! Maana naona Kama unajipa moyo huku uweli ukijaribu kujisahaulisha kwa makusudi
 
Back
Top Bottom