radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
Maoni yangu hii ni hatua kubwa kwa maalim kwanza kafanya jambo ambalo cuf lipumba na ccm hawajategemea wameachiwa manyoya hadi muda huu
Pili migogoro ya bara ya kesi za chadema na serikali ya magufuli vingempunguza nguvu maalim alichofanya ni sahihi sana ni suala la mbowe zitto na maalim kuunganisha umoja ambao utaendelea kuwapa homa ccm itafika mahali vyombo tetezi kwa ccm vitachoka maana wao wenyewe wanaimarisha upinzani imara bila kujijua
Act kuna Maalim na Zitto
Chadema kuna Mbowe na lissu ,lema na john heche pamoja na mnyika na viongozi wanawake wenye nguvu.
Nafikir hapo juu unaona serikali ya ccm inachotengeneza bila wao kujijua maana huku chini kuna wafuasi kamili wana mabadiliko.
Game changer!
Siku zote kuna mabadiliko tu - what you do na mabadiliko unayokumbana nayo ndo muhimu... Naona Maalim Seif kaamua kama kapinduliwa ye anapindua meza. Yaani hata ofisi za CUF ni private property? Sasa CUF itabaki na nini?
Mi nasema Change is better than stagnation - making the most of a situation haijawahi kuwa kosa.
Hongera sana Maalim Seif kwa uamuzi sahihi muimalishe upinzani imara sasa tunategemea kupata watu wenye akili.