Hii ndo EPL Gurdiola

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,417
Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja

Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
 
Anatakiwa kuwaheshimu akina Wenger na kama si kubebwa basi ajue hata hizo club za Spain hazina uwezo wa kuwa zinachukua uefa cup
 
Pep wakati anakuja engalnd alisema kuwa anawaza tu ni jinsi gani atapata tabu kuendesha gari katika jiji la manchester nasii kingine ...hasa najua saizi akili yake itakuwa immekaa sawa
Na mpaka tukafike may mwakani atakuwa ameisoma namba ..
 
mie sielew huo uzuri au ugumu wa EPL kina totenham wanagawa vipigo kwa mancity, wanaisumbua arsenal kwelikweli lakin tumeona kwe champion league amekutana na monaco amepigwa nje ndani, akakutana leverkusen damu tupu..hizi timu za EPL zikichepuka tu zikakutane na Dortmund zinakaa,timu za uingereza hazijawah hata kumfunga PSG,,,Kimtazamo wangu EPL ni ligi ngum kwakuwa timu shiriki zina viwango tu vinavyofanana tu na amna timu yenye uwezo wa juu level ya barcelona na madrid au bayern
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom