Hahaha mnataka mumuadhiri mzee wa watuNdio tutajua ni kocha bora au bora kocha
4-2Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja
Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
Alikuwa anajificha kwenye mchicha kipind cha mvua sasa acha ajifiche kwenye mbuyu kipindi hiki sasa ataweza au atafukuzwaHahaha mnataka mumuadhiri mzee wa watu