hii ndo aina ya wanachama wa chama cha magambai mpaka sasa!

Barbaric

Member
Aug 14, 2011
34
9
Kwa mtazamo wangu, chama cha magamba mpaka sasa kamebakiwa na wanachama wa aina 3 tu! nao ni hawa wafuatao!

1. wasiojua kusoma wala kuandika.
kundi hili kwa bahati mbaya ni kubwa mno na ndilo linalochangia ushindi wa chama cha magamba kwa kiac kikubwa, na ndio mana chama hiki kimeshindwa sana katika majimbo yaliyo katika halimashauri za miji na majiji kama mbeya, moshi mjini, mwanza, arusha, iringa n.k hii ni kwa sababu maeneo hayo yana wasomi wengi ukilinganisha na vijijini, kwa hiyo bac kuendelea kwa halmashauri nyingi cku za usoni ndo kifo cha chama hiki!

2.kuwenye maslahi binafc.

kundi hili ni chache sana , ila kwa bahati mbaya ndilo linaloendesha chama kwa ku2mia ushawishi wa fedha zao, kundi hili sio kwamba linakipenda chama , la hasha! bali lipo chama hiki kustawisha biashara zao, ndio mana kili cku wa2 wa kundi hili huwa wananyukana wao kwa wao baada ya kuzidiana kete, na c kweli kuwa wanakipeda chama, kwani wangekipenda wacngemwaga mchele kwenye kuku wengi kwa kunyukana hadharani, kundi hili nina uhakika chama chochote kikiingia madarakani nalo kundi linahamia kwa ku2mia mlango wa nyuma!

3.waanzilishi wa chama

kundi hili ni dogo sana kwa sababu wengi wameshatangulia mbele za haki kutokana na umri, ila likiisha chama kiko hatarini.
kundi hili limebaki na fikra zlezle na ndilo linalowadanganya wanachama wacojua kusoma wala kuandika na wazee wasojua chochote katika dunia hii, ingawa kuna baadhi ya wa2 wa kundi hili wameshatambua kizazi cha tz kinataka nini kwa ss ila hawawezi kufanya mabadiliko kwa sababu muda wao wa kuishi duniani upo jioni( km kinachomuua m2 ni umri 2).

kwa kuangalia makundi yote 3 na cfa zao utagundua chama hiki kinaelekea ukingoni kwa miaka 10 au 15 ijayo kwa sababu zifuatazo;
kundi la kwanza linapungua kwa ongezeko la shule, kundi la pili linaangalia maslahi yaliko na kundi la 3 watakuwa hawana uwezo tena wa kuongoza.
 

Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
Poor analysis, actuated by malice and bordering on sheer ignorance and extreme phobia.
 

Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135
Poor analysis, actuated by malice and bordering on sheer ignorance and extreme phobia.
<br />
<br />
Mpobo hongera kwa kusomeshwa barabara na system iliyopo. Hebu jiweke katika nafasi ya yule ambaye hakusomeshwa kabisa kwasababu ya mfumo mbaya wa uongozi. Ungefanyaje? Tuwe binadamu tuwe na utu. Naomba uache kutetea mafisadi, reform, repent and defect!. Ukweli dhamira yako inakushtaki kila dakika. Naishukuru hii forum kutoka moyoni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom