GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,869
Maana halisi ya Mabenchi ya Ufundi kwa Vilabu ( Timu ) za Ulaya huwa yana Watu wenye Majukumu kama yafuatayo:
1. Kocha Mkuu
2. Kocha Msaidizi
3. Kocha wa Makipa
4. Kocha wa Viungo
5. Kocha wa Washambuliaji
6. Mratibu wa Wachezaji
7. Muandika takwimu na muibuaji Wachezaji wazuri
Maana halisi ya Mabenchi ya Ufundi kwa Vilabu ( Timu ) za Tanzania ( Ukiitoa tu Simba SC ambayo yenyewe inaendeshwa ' Kiprofesheno ' zaidi ) huwa na Watu wenye Majukumu kama yafuatayo:
1. Mganga Mshirikina Mwandamizi
2. Mganga Mshirikina Msaidizi
3. Mshika Mapumbu / Makende muda wote Timu inapokuwa inashambuliwa
4. Mtafuta Mayai Viza
5. Mvunjaji Mayai Viza Mkuu
6. Mpiga Chabo Mkuu katika Vyumba vya Wachezaji wa Timu pinzani
7. Mrusha Njiwa au Mshika Hirizi Mkuu
Halafu mnataka twende AFCON ' thubutu ' yenu!
Nawasilisha.