Hii ndiyo tofauti pekee, kubwa na iliyotukuka kabisa kati ya Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki za Uganda na Kenya

Uganda ugenini... cape verd ugenini.... lesotho ilikua kesi maalumu kwa sababu kipindi kile tulikua na hali mbaya sana
Kwani Wewe ' Games ' zako zingine zilizopita ulichezea Ugenini tu na hakuna hata ambazo ulizichezea Nyumbani Tanzania?
 
Uganda ugenini... cape verd ugenini.... lesotho ilikua kesi maalumu kwa sababu kipindi kile tulikua na hali mbaya sana

Una ' Hoja ' nyepesi halafu za ' Kitoto ' sana. Jitahidi Kwanza ujielimishe zaidi juu ya masuala ya Mpira na ukiona sasa umefuzu rudi tena hapa. Wewe unadhani Rais Mstaafu wa Awamu wa Pili Alhaji Mzee Ally Hassan Mwinyi aliposema Tanzania ni Kichwa cha Mwendawazimu alikosea?
 
Mimi Timu ikitua na nikipewa Kazi ya ' Kumteka ' Samatta kwakuwa hatufungii Taifa Stars kama wafanyavyo Washambuliaji wenzake wanaocheza nje kama Faruk Miya ( Uganda Cranes ) na Victor Wanyama ( Harambee Stars ) nitakuwa tayari kwani kusema ukweli naanza kutoona ' impact ' yake ndani ya Timu yetu ya Taifa tofauti na vile ninavyokuwa nikimuona akiwa Klabuni Kwake FC Genk huko Ubelgiji ( Belgium )
Tumuache Samatta maana pengine ana mawazo kwa nini hajamtembelea Lissu.
 
Nauliza Swali hivi matatizo ya timu ya Taifa (Taifa Stars ) in
1- Maandalizi duni
2- Wachezaji awatimizi majukumu ya
3- Uwezo wa wachezaji ni mdogo
4- Chama kinachoisamamia ni cha ubabaishaji
 
Nchi Kubwa halafu haina mikakati wala kipaumbele lakini majirani zetu kila uchao wanatuacha tu huku wakizidi kutushangaa pia.

Ili tuwe na mikakati na tuendelee haraka inawabidi viongozi kuondoa siasa katika mambo ya kitaalamu, vilevile waache kuwa wanaleta ajenda za maendeleo ili kushinda uchaguzi.
 
Uganda Rais wao ambaye wengine wanasema anaminya demokrasia aliwapa mpunga wa maana kabla ya mchezo na Lesotho

Kenya Naibu Rais William Ruto aliwapa mpunga wachwzaji kabla ya mchezo na wahabeshi ,wenzetu wakavuna walichopanda

Tanzania wakapewa dege kubwa eti likawatishe Cape Verde na tuwapige mbili kabla ya mchezo,kilichotokea ndo hichooooo,tukapigwa,huu ni uendewazimu wa kuwaza makubwa wakati madogo yanatushinda
 
Uganda 3 Lesotho 0

Kenya 3 Ethiopia 0

Tanzania 0 Cape Verde 3

Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!

Nawasilisha.
Lakini Waganda na Wakenya hizo tatu wamezipiga kwenye viwanja vya nyumbani.Ebu sisi tusiwahi kujihukumu tusubiri kesho 16 Oct baada ya filimbi ya kumaliza mpira
 
Uganda 3 Lesotho 0

Kenya 3 Ethiopia 0

Tanzania 0 Cape Verde 3

Kazi ipo hakyanani na tunachoweza / tunachomudu ni ' Kutekana ' tu tena Saa 11 za Alfajiri!

Nawasilisha.
Mungu hakupi vyote mkuuu kutekana ndio kipaji chetu.
 
Ukiwa ume amua kua against ni vigumu kuona hoja zinazo tetea stars zina uzito kiadi gani.. wewe ulisha amua kua mpinzan basi utabaki kua mpinzan

Back
Top Bottom