Hii ndiyo tofauti kati ya Mshabiki makini wa Yanga SC Mbunge Ridhiwani Kikwete na wale Mashabiki ' Maandazi ' na ' Oya Oya ' wengi waliopo Jangwani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,363
108,403
Akitiririka na kuserereka na Kituo cha Redio cha Efm asubuhi hii mmoja wa Wadau muhimu wa Yanga SC, Mwanachama wa Yanga SC na Mdhamini pia ( japo huwa hapendi Kujulikana ) Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amesikitishwa na kuchukizwa na Kitendo cha ' Kipuuzi ' kilichofanya na ambacho kinaendelea kufanya na baadhi ya Wanayanga kutaka kushindana na Maamuzi ya BMT na TFF yanayowataka wao Kufanya Uchaguzi upesi.

" Timu inaenda na inaendeshwa kwa shida halafu anatokea Mtu anawaambieni fanyeni Mkutano ili mkae sawa nyie mnaanza Kubishana nao na kutaka kuleta mzozo mwingine wa Kipuuzi na usio na maana hasa kwa mpira wetu huu ", alisema Ridhiwani.

Hakuishia tu hapo Mbunge huyu ambaye huwa hafichi kabisa mahaba yake niue kwa Klabu yake ya Yanga SC hakutaka kutoonyesha ile inayoitwa ' Spirit of Sportsmanship ' pale ambapo aliipongeza pia Klabu ya Simba SC kwa Kufanya Uchaguzi wake hivi majuzi na kuingia rasmi katika mfumo wa mabadiliko ambao amesema ndiyo unatakiwa uigwe na Timu nyingi na hasa Wao ( Yanga SC )

" Angalia wenzetu Simba SC juzi wamechaguana na sasa wameshaanza kuelekea katika mafanikio na watafika mbali lakini cha Kushangaza huku Kwetu Yanga SC Watu badala ya kuwa na mawazo ya Kimaendeleo wao wamewekeza tu katika Majungu na kutaka Kutengeneza Makundi ndani ya Klabu huku wakitaka kutusababishia matatizo ya Wasimamizi wa mpira wa nchi hii Serikali kupitia BMT na TFF yenyewe ".

Haya Wana Yanga SC mmemsikia Ridhiwani Kikwete?

Kazi Kwenu ila Simba SC kwa sasa tunawaza Kushindana na akina TP Mazembe, Kaizer Chiefs, Al Hahly, Enyimba FC na kidooooooooooooogo sana Azam FC kwa hapa nchini Kwetu Tanzania na tuna mpango miaka mitatu ijayo Simba SC ifanane na Timu kama Liverpool FC, FC Barcelona na Paris Saint Germain hasa Kiutajiri na Kimaendeleo.

Nawasilisha.
 
Msipomtajaaaa riziwani naniizinawatesaaa

EMBU mwacheni kijana apumzike na familia YAKE mstafute kikiii
 
Hadi uwe na uwezo wa kusajili mchezaji wa kikosi cha kwanza TP Mazembe,Kaizer Chiefs,LiBORO,Mamelod Sundowns Enyimba and the like...ndio utakuwa tishio Afrika lakini sio kwa wachezaji wa mafungu Kageri na Chama
 
Msipomtajaaaa riziwani naniizinawatesaaa

EMBU mwacheni kijana apumzike na familia YAKE mstafute kikiii

Siamini kama wewe ni mkongwe Pdidiy ila mwandiko ni wenyewe kabisa huu. nini kimekupata bro
 
Msipomtajaaaa riziwani naniizinawatesaaa

EMBU mwacheni kijana apumzike na familia YAKE mstafute kikiii

Nakuomba tu acha Kuulinganisha huo ' Upumbavu ' wako ukadhani na Mimi ni kama Wewe sawa? Mtafute Mheshimiwa Mbunge mwenyewe Ridhiwani Kikwete muulize kama leo hakuzungumza na Maulid Kitenge kupitia Efm Radio au uliza Member yoyote hapa ambaye alisikiliza leo Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm kisha muulize kama nimeandika uwongo hapa kuhusu hayo aliyoyaongea huyo Mwana Yanga SC na Mheshimiwa Mbunge.
 
Sio kweli kabisa baadhi ya wanachama wa Yanga wanamtaka Yusuph Manji arudi Yanga ili aje isaidia timu wanamuhitaji kwa ajili ya matumbo yao tu alishawazoesha vibaya kwa kuwapa vijisenti.
 
Na bahati nzuri sana wale Wote ambao walikuwa wanabwabwaja / wanazoza jana wanajulikana kuwa ndiyo ambao huwa wanakaa sana Magetini wakati wa mechi za Yanga SC ili kupiga / kuiba Hela hivyo wanajua Mkutano ukifanyika wakija Viongozi wapya na Wao ' Shughuli ' ndiyo itakuwa imemalizika rasmi na kuanza Kupiga Miayo mjini hapa.
 
na wanajua akitokea muekezaji mwingine itakuwa kama Simba kwa MO awatopata kitu watapigwa bao kama wanachama wa Simba na Friends of Simba kwa Mohamed Dewji
 
Wenye Yanga wanamtaka Yusuph Manji

Wenye Serikal hawamtaki Yusuph Manji Yanga

Sasa hapo Tatizo ni la wenye Yanga Yao Au Serikal?

Ridhiwan atulie tulii, Viatu vya Manji haviwezi vitampwaya!
 
Na anawafinyanga na kuwageuza anavyotaka ' Baniani ' wa Watu hakyanani!
Ni kweli Yanga kwa sasa inahitaji kujikwamua hilo lipo wazi kabisa,ila tu cha muhimu katika kutekeleza hilo sheria na utaratibu inabidi uzingatiwe kuziba mianya yote ya kuleta chokochoko kama hizi maana jamaa wamekaona katundu hako. Pia naomba wanayanga wasibweteke tu kwamba eti watu wanaomtaka Manji wanataka tu kujaza matumbo yao, inaweza ikawa tofauti kabisa kwa sababu Ni manji pekee aliyeonyesha kuipa uhai yanga kwa miaka hii, alilipa mishahara, alitoa fedha za usajili, alilipia wanayanga na wengine wote waingie mpirani buree!!,alifanikiwa kuleta utulivu ndani ya yanga kwa kipindi fulani hivyo wana yanga bado wanamkumbuka na hawaamini kama kweli kaondoka wanatumia kila njia kumshawishi arudi maana si rahisi kupata mbadala wake Tanzania hii, nakwambia pamoja na Simba kuingiza mfumo mpya kuwa kampuni MO akitangaza kuondoka Simba leo it will be more than disastrous. Jambo hili inabidi wanayanga walipeleke kwa upole na kwa maelewano makubwa. Nawaasa Wanayanga kama ni uchaguzi wauache ufanyike tu maana ni for betterment of YANGA na si vinginevyo. NG'WABEJA SANA
 
Hapa unachagua upande upi wee sokoro??? Kati ya serikali na ndala???
 
Nakuomba tu acha Kuulinganisha huo ' Upumbavu ' wako ukadhani na Mimi ni kama Wewe sawa? Mtafute Mheshimiwa Mbunge mwenyewe Ridhiwani Kikwete muulize kama leo hakuzungumza na Maulid Kitenge kupitia Efm Radio au uliza Member yoyote hapa ambaye alisikiliza leo Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm kisha muulize kama nimeandika uwongo hapa kuhusu hayo aliyoyaongea huyo Mwana Yanga SC na Mheshimiwa Mbunge.

POVUUUUUU LINAKUTOKAAA AKISA YANGAAA HII NGUVU ITUMIE.KULETA MAENDELEO JAMANI ACHANENI NA wANAYANGA NA FAMILIA ZAOO AZIWAHUSU.....MH YUKO BUSY HANA MDA KUSOMAA HIVI VITUKO KABISA KAMA MNAWAZAGA HILO MKIANDIKA ANASOMA HAHAHAAAA MDA MCHAFU HANA

PAMBANANENINAHALIZENU
 
Back
Top Bottom