Hii ndiyo Tanzania yetu

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Mwisho sijui ni lini?
 

Attachments

  • 1240638_547982871979358_6894503808356377523_n.jpg
    1240638_547982871979358_6894503808356377523_n.jpg
    56 KB · Views: 624
Tukiuza viwanda uchumi utaimarika na watoto watapata viti mashuleni na maisha yatakuwa bora kwa kila Mtanzania
 
Bado kidogo nikane niseme sio Tanzania hapo lakini dogo wa nyuma kabisa aliyevaa sweta ameniumbua.
 
Jimbo la Tundu Lissu wananchi wanateseka sana. Yote hii inasababishwa na Mbunge kutokuwa na vipaumbele.
 
Photoshop hii.
Tanzania si wanauza magogo nje ya nchi na hakuna mkoa hauna msitu wa mbao hata dar kuna mabwepande!
loh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom