mpayukaji
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 940
- 349
Pamoja na kujisifu upuuzi kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani, kumbe kuna sifa nyingine watawala wetu hawataki kutwambia-kisiwa cha mapanya na Matonya. Tanzania ni ya tatu kwa kupokea misaada toka kwa wafadhili baada ya Iraki. Ukiwauliza watawala wetu nini kimefanyika zaidi ya kutoa ohaa nyingi hawana la kuonyesha. Kwa habari zaidi,BONYEZA HAPA