Hii ndiyo St. Marys Mazinde juu iliyotoa Tz One Form Six

Kwa hali ilipofkia, sitoshangaa nikiona vijana hasa masikini wakishika smg na lmg kudai haki ya utawala wa nchi yao.CCM muogopeni mungu kwa mlio fanya inatosha ,mwenyekiti wenu anasema elimu bure wanae wamesoma st mathew, hii ni dharau sana kwa watanzania tulioitwa wapumbavu.
Any way nampongeza huyo t.o but akudeserve hiyo nafasi
 
kwa. mwendo wa kiwalazimisha wazazi kujenga shule hayuwezi kupata shule zenye madarasa bora kama haya!!! = viongozi wnapiigia debe shule za serekali wakati wanasomesha private school
 
Mkuu unaamanisha nn? Una maana baada ya kumaliza vyuo au? Mtoto aliyefanya vizuri form six ana chance ya kusoma chuo bora na kozi bora anayoitaka yeye kutokana na masomo yake.

Sawa baada ya kusoma nini zaidi alichopata maishani?
 
Sawa baada ya kusoma nini zaidi alichopata maishani?
Swali gani hili...Yani mtu asome kozi ya chaguo lake, ahitimu vizuri kabisa..halafu unauliza nini alichopata maishani...??
Yani asome MD afauli, awe daktari halafu unauliza nini kapata maishani..? Be serious
 
Daaaah picha zimenikumbusha mbaliiii!! Enzi hizo tukiwa tunawaita makaroti coz ya mng'aro wa uniforms zao
 
You have a point, hawa wanapewa kila kitu. Lakini pia wanachujwa mno, entrance exam wanaingia watoto 500, wanachukuliwa 40 tu, hiyo ni cream, then wanalishwa kila kitu coz walimu wao wanapata stahiki zote na mishahara mizuri.

Huwezi kuwalinganisha na Tabora, Mzumbe etc.

Ningependa kujua education structure, hasa ya nchi kama marekani na uingereza kwa hizi shule za sekondari. Je, hawa jamaa wana private schools? Zinaendeshwa kwa mfumo upi haswa??

Mkuu, shule binafsi zipo katika nchi nyingi zilizoendelea na zingine zinafundisha tangu vidudu hadi A level.

Wenye uwezo wanalipa ada ama iwe ya day au boarding school.

Wapo watoto wengi tu ambao wengine wanatoka nje ya Marekani na Uingereza na wamesoma shule hizo, mfano yule wa babu Jongwe Bob Mugabe na wengine.

Mfumo wa wenye nazo na waso nazo upo kila mahali duniani.
 
CC: Richard, check hiyo clip kuhusu Finland

Upo sawa mkuu.

Nina marafiki kadhaa huko na wananufaika sana na mfumo wa elimu wa huko.

Ila usisahau Finland ni nchi ndogo sana ( ina watu milioni 5 na mia nne hivi) na ina mfumo mkali sana wa kodi na kodi ya mapato inayolipwa ni kubwa sana kiasi cha kuwafanya kila Mfinish aishi maisha ya juu lakini yanayojitosheleza.

Ndiyo maana ukipata mwanya wa kuishi katika hizi nchi khasa za Scandinavia basi wewe umeula kwelikweli.

Halafu idadi ya watu Finland inatosheleza mahitaji yote ya matumizi ya mapato ya serikali na hakuna masuala kama kubana matumizi au nakisi ya bajeti na ndiyo zile "change" tunaletewa kama msaada hapa Tanzania.

Tanzania ina watu milioni 50 na tuna kazi kubwa sana kutengeneza mifumo kama wa Elimu.
 
Mazingira ya shule tu tayari mtoto anakua kafaulu....sasa huku telemka tukaze hapa shule nyuma soko unategemea nini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mwakani msijepeleka matoto yenu majingamajinga mkaharibu sifa ya shule
 
Back
Top Bottom