Hii ndiyo SEAL Team ya Bongoland?

Io chopper ya TZ yaonekana light Sana..I'm sure mkuki wa wamasai unaweza iangusha
Helicopter utafkiri ambulance bhana..
Jpm hebu stopisha hiyo mirad ya sgr wanunulie vijana helicopter za kueleweka
tapatalk_1575913187216.jpeg
 
Hyo ndege wavaa makombazi wanaiangusha kw sekunde tu...haiwezi hta jitetea

Vip Al shabaab mmemaliza ku deal nao maana mnajisifia kuwa mna jeshi imara mnashindwa kusambaratisha vibaka wa somalia hao🤪🤪


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom