Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

Wanahamia ana mnawanunua; hivi bado mnajua siye wabanchi wajinga kiasi hicho eeee; si tunawaangalia tu mbavyogangaika na hali zenu;
 
Nakuelewa sana.
Samahani kama kuna kaneno hakakukupendeza.
Kuchukiana ni kubaya ndo maana mimi pia hata kama ni CCM wanapotoka huwa nakosoa.
Napenda nchi yangu.Na wala si TEUZI kwakujipendekeza.
Samahani sina ubaya wala chuki.

Njoo na hoja za kujenga umoja wetu.Vyama vitapita Tanzania itadumu.

Tunatakiwa kuwa watanzania runaokemea ubaguzi wa aina yoyote.

Namtakia week end njema.

Tanzania kwanza vyama baadaye
 
Ila tunaopouona unafiki vyamani ama uongozini wakifanya maaigizo yakuwadanganya wanannchi ni lazima tuyakosoe na kuyawe kawazi.
Hilo ndo jukumu la Mzalendo wa kweli kuliko anayenyamaza KIMYA kwa sababu ya hofu na kujipendekeza.
 
Wanahamia ana mnawanunua; hivi bado mnajua siye wabanchi wajinga kiasi hicho eeee; si tunawaangalia tu mbavyogangaika na hali zenu;
Hebu tujuze basi mkuu.
Wananunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kila MUHAMO?
Jamanituweni wa kweli.
 
Ila tunaopouona unafiki vyamani ama uongozini wakifanya maaigizo yakuwadanganya wanannchi ni lazima tuyakosoe na kuyawe kawazi.
Hilo ndo jukumu la Mzalendo wa kweli kuliko anayenyamaza KIMYA kwa sababu ya hofu na kujipendekeza.

Mzalendo wa kweli a aksema hata kama Rais wake anapotoka.Mzalendo wa kweli mnaumia Mtanzania mwenzako akiumizwa, kuuawa au kupotea.

Mzalendo wa kweli habagui.Waweza dhani anayedanganya watanganyika ni wanasiasa waupinzani kumbe ni wanaccm wenzako.

Wengi wenu mlengwa kuchukua Wapinzani bila sababu za msingi au kwa kuona wanagusa sahani za chakula chenu.

Miaka zaidi ya 50 tunadanganywa n.a. Watawala hawa hawa waliokuwa TANU leo CCM kama si was basi watoto wao.

Leo watoto wao wako busy kutukana wapinzani sababu sahani za chakula chao zimeguswa.

Mdogo wangu vua hiyo miwani ya mbao na pamba za masikio_Ona na sikia kwa macho,akili na moyo.Wahi usije ukajutia kwanini hukuona wala kusikia.

Aliyenunua kivuko kibovu na kujenga barabara za substandard leo apiga kelele za uzalendo sababu anataka kula zaidi anamlaumu wa jana ati amefilisi wakati yeye alikwapua bilioni nane akatuletea kivuko kibovu na wewe uko busy unamsujudia ati mzalendo amka.
 
Wana JF Chadema wako katika hali ya sintofahamu wakijiuliza kwa nini hasa watu wanatuacha na kukimbilia CCM?

Jibu ni kuwa sababu KUU ni kuwa wengi wamegundua UNAFIKI uliomo chamani na miongoni mwa VIONGOZI wao.

Hasa walipokuwa wakimwita Rais Magufuli kuwa ni DIKITETA.
Mfano mzuri ni wakati wakiwa huko nchi jirani wakiuguza mgonjwa na KUYAONA MAUAJI mabaya yaliyokuwa yakifanyika na wao wakaaamua KUKAA KIMYA tu pasipo kusema chochote kama ni miongoni vyama VYA UPINZANI vya nchi za EAC.
Huku WAKISHANGAA na pengine kuambiana kuwa

"Kumbe Tanzania basi HATUNA DIKTETA bali tuna mnyoosha mambo. Haya mauaji tuliyoyaona tukirudi Tanzania mtu ASILITAJE neno DIKITETA"
Ndo maana hawalitumii tena.Kuna mtu amelisikia wakilitaja tena?

Hiyo ni moja ya sababu za watu kuihama Chadema maana mauaji waliyoyaona huko HAWAKUYAZUNGUMZIA hata kidogo.

Hata tu kuyazungumzia katika lugha ya KIDIPLOMASIA,hamna kabisa walinyamza kimyaa.
Ndo maana wanachadema wao wengine wameanza kuamka na kugutuka.
Maana kama ni kweli walikuwa ni CHAMA kinachosimamia HAKI basi hata wangetoa ushauri wa AMANI.

Chadema WALIJIONEA wenyewe MADIKTETA waliobobea.
ambao hunyamazisha MAANDAMANO yoyote kwa kila hali.

Mabomu ya machozi huwa hayatoshi kwao bali risasi. Hata kama ni kuua wananchi wasio na hatia.
Magufuli hakaribii katika hali hiyo hata chembe.

Jambo jingine nchi hiyo wamekuwa wakiisifia sana kila wakati wakiwa hasa wakiwa BUNGENI eti "Tanzania tuwe kama{.........} eti huko kuna DEMOKRASIA zaidi ya Tanzania". Kweli????
Na hata kudiriki kumwita Rais Magufuli kuwa ni DIKTETA. Jambo ambalo halingii akilini.

Kwa sasa naamini WAMEJIFUNZA SOMO. Na naamini pia kuwa HAWATALITAMKA tena neno "DIKTETA" .
Maana sasa wamejua nini maana ya UDIKITETA.

Tangu WASHUHUDIE na macho yao yale yaliyowafanyikia wafuasi wa UPINZANI wa nchi hiyo Ni vizuri watulie na wajitafakari.
Walijionea risasi zikimiminwa kama maji BILA KUJALI chochote.

Hata mtoto wa miezi miwili au sita hivi alipigwa rungu na polisi na kufa ikiwa ni pamoja na wanafunzi wa shule. Jamani!!

Naamini hii NDO SABABU kuu ya unafiki inayowafanya wengi kuihama Chadema.
Na hamna tena sababu ya kumwita Mh rais Dr.Magufuli kuwa ni DIKTETA
Maana wamejua MADIKTETA huwa na tabia za aina gani.
Umejichanganya sana kwenye andishi lako. By the way "hao wengi" wanaohama kutoka Chadema kwenda CCM wako wapi? Hebu tuanzie hapo?
 
3c72634ffe24ea6643a4349cd9f4d278.jpg
 
Sababu kuu wameona magu atajipa ushindi wa 100% mwaka 2020, na wabunge wa ccm watakuwa 98%. Wanachadema wanaojali maslahi yao binafsi kuliko ya watanzania kwa ujumla wameamua wajisogeze upande utakaopewa ushindi.

Siasa za chadema za kulalamika bila vitendo zitawapoteza kabisa. wakiendelea hivi kuanzia mwaka 2020 hawatakuwa na nguvu ya kufanya kitu chochote tena. Wake up chadema, rudisheni UKUTA, hakuna demokrasia ya bure.
6c939cfa3022644e5cde1989fa597d1d.jpg
 
Mzalendo wa kweli a aksema hata kama Rais wake anapotoka.Mzalendo wa kweli mnaumia Mtanzania mwenzako akiumizwa, kuuawa au kupotea.

Mzalendo wa kweli habagui.Waweza dhani anayedanganya watanganyika ni wanasiasa waupinzani kumbe ni wanaccm wenzako.

Wengi wenu mlengwa kuchukua Wapinzani bila sababu za msingi au kwa kuona wanagusa sahani za chakula chenu.

Miaka zaidi ya 50 tunadanganywa n.a. Watawala hawa hawa waliokuwa TANU leo CCM kama si was basi watoto wao.

Leo watoto wao wako busy kutukana wapinzani sababu sahani za chakula chao zimeguswa.

Mdogo wangu vua hiyo miwani ya mbao na pamba za masikio_Ona na sikia kwa macho,akili na moyo.Wahi usije ukajutia kwanini hukuona wala kusikia.

Aliyenunua kivuko kibovu na kujenga barabara za substandard leo apiga kelele za uzalendo sababu anataka kula zaidi anamlaumu wa jana ati amefilisi wakati yeye alikwapua bilioni nane akatuletea kivuko kibovu na wewe uko busy unamsujudia ati mzalendo amka.
Haya mkuu umesikika.
 
Eti "Ana uchungu na MATUMIZI si matumizi tu bali matumizi MABAYA Ya FEDHA za UMMA. Hapo yuko sawa sana. UFUJAJI wa mali ya UMMA ovyo ovyo hali watu bado wanapambana na MAADUI 3 mojawapo ni UMASKINI.

Watu wangali wakiishi maisha ya DHIKI sana,nyumba za nyasi na HAWANA hata MAJI SAFI.

Si afadhali basi ABANE matumizi YASIYO muhimu ili mambo YALIIYO na umuhimu fedha ITUMIKE katikakubadilisha maisha ya Watanzania..
Njoo Ama AJE na USHAHIDI wa cheki za MABILLIONI yaliyotumika kuwanunua hao unaowasema ama anao wasema ndo tuanzie hapo badala ya vijembe tu ambavyo havijadhibitishwa kuwa ni ukweli.
 
Back
Top Bottom