Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

hahahaa
Le mutuz alikuwa hataki kabisa kuishi kwa title ya baba yake. Alitaka life yake yeye kama yeye.

Na kweli amipata tittle yake yeye kama yeye nikimuangaliaga ndani ya kile kinoah najiulizaga hivi huyu mtoto wa Waziri mkuu kweli kuendesha kinoah kama hiki jmn. Khaaaaaa...! 🙄
 
Bahari hii inayopatikana katika bahari ya atlantic inasemekana ni sehemu pekee ambapo zaidi ya meli 50 na ndege 20 zimepotea katika eneo hilo moja.

Hali inaonekana kuwaacha vinywa wazi wanasayansi wengi kwani chanzo hasa cha kupotea kwa meli na ndege hizi bado ni fumbo, inasemekana Christopher Columbus alipita eneo hilo na alipokaribia dira yake iliacha kufanya kazi hali iliyompa taharuki kubwa.

Tukio kubwa na la kushangaza kuhusu eneo hili ni kuzama na kupotea kwa ndege sita za jeshi la Marekani zilizokuwa zinafanya mazoezi na kupita eneo hili kwa bahati mbaya na mpaka leo hazijawahi kuonekana mpaka leo

Mwenye kujua zaidi kuhusu hili anaweza kutupa lolote hasa kuhusu ni hasa kinachopelekea eneo hili kuwa hatari zaidi
Hamna cha shetani wala nini isipokuwa ni sehemu ambayo pepo kali za bahari hiyo ya arctic hukutana
 
Zipo thread nyiangi sana zinazohusu hii Bermuda Triangle
Tafuta yenye wachangiaji wengi usome labda utapata mwangaza, maana jibu sahihi halijapatikana
Pia kuna Dragon triangle
Jibu lishapatikana kitambo sana kwenye nchi za watu huko kwetu ndo kwanza watu wanaenda kuomba chatu yule wa chato awape baraka
 
Mkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbunga
Sorry, naomba kukuuliza swali; Umewahi kupanda ndege na ukakatisha bahari kubwa?? Usikasirike tafadhali
 
Hilo eneo baharia le mutuz kapita sana, walikuwa wanaingia kwenye huo mkondo unawazungusha siku tatu then unawaachia waendelee na safari.
Kama aliwahi kusema hivyo basi aliwadanganya. Ki ukweli wanasayansi bado hawajapata jibu kuna nini hasa hapo na huyo mtu mumsemaye kwa madai yake alikuwa idara ya engineering hivyo hawezi kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu hilo. Kama ingalikuwa kuna maelezo ya kitaalamu basi mimi ningekuwa mmoja wa watu wenye taarifa sahihi si tu kwasababu nimekrosi sana maeneo hayo, bali pia nina elimu ya kutosha kwenye fani hiyo
 
Moja kati ya hadithi taamu sana ambazo ukihadithiwa lazima ukae chini na usikilize vizuri ila nachokiamin hii nayo ni kama zileee za Hapo zaman za kale nafikir umenielewa mtoa uzi......
 
S
Bahari hii inayopatikana katika bahari ya atlantic inasemekana ni sehemu pekee ambapo zaidi ya meli 50 na ndege 20 zimepotea katika eneo hilo moja.

Hali inaonekana kuwaacha vinywa wazi wanasayansi wengi kwani chanzo hasa cha kupotea kwa meli na ndege hizi bado ni fumbo, inasemekana Christopher Columbus alipita eneo hilo na alipokaribia dira yake iliacha kufanya kazi hali iliyompa taharuki kubwa.

Tukio kubwa na la kushangaza kuhusu eneo hili ni kuzama na kupotea kwa ndege sita za jeshi la Marekani zilizokuwa zinafanya mazoezi na kupita eneo hili kwa bahati mbaya na mpaka leo hazijawahi kuonekana mpaka leo

Mwenye kujua zaidi kuhusu hili anaweza kutupa lolote hasa kuhusu ni hasa kinachopelekea eneo hili kuwa hatari zaidi
Source plz, or it didnt happen
 
Mkuu zuru na mkari una maanisha nini???? Au ndiyo dhuru na mkali ?? Ccm bhana mnakera sana
Mkondo wa maji hauwezi zuru ndege iliyo angani. Siamini kama kuna shetani pale ila pia siamini kama chanzo cha yote ni mkondo mkari wa maji. Labda kama huo mkondo utakuwa unatengenezwa na kimbunga
 
Back
Top Bottom