Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Wakoloni/mabeberu wanatafuta kila njia kuwapotosha waliochelewa kupata tektohama, baada ya dini, wanaleta mazingaombwe ambayo kwa bahati mbaya wale waliopotoshwa awali wameanza kushtuka, aseee..!
 
Hahaha! Sehemu iliyonichekesha zaidi ni Hapo mwishoni ulipoingiza mambo ya Atlantis.

Hadithi za Atlantis ni mojawapo ya chai moja takatifu namshukuru Plato kwa kutuletea chai inayotuburudisha kama hii.
 
Hahaha! Sehemu iliyonichekesha zaidi ni Hapo mwishoni ulipoingiza mambo ya Atlantis.

Hadithi za Atlantis ni mojawapo ya chai moja takatifu namshukuru Plato kwa kutuletea chai inayotuburudisha kama hii.

, mkuu haya mambo yamepelekea watu wengi kupiga mamilion ya pesa kwa kutunga na kukoleza habari za kusadikika.
 
Hizi myth sijawah ziamin, sijui marekani inaongozwa na allien wa 51 n.k n.k,
na kwa sbb watu wanapenda mambo ya kusadikika ndio maana vinapaa
 
Bahari hii inayopatikana katika bahari ya atlantic inasemekana ni sehemu pekee ambapo zaidi ya meli 50 na ndege 20 zimepotea katika eneo hilo moja.

Hali inaonekana kuwaacha vinywa wazi wanasayansi wengi kwani chanzo hasa cha kupotea kwa meli na ndege hizi bado ni fumbo, inasemekana Christopher Columbus alipita eneo hilo na alipokaribia dira yake iliacha kufanya kazi hali iliyompa taharuki kubwa..

Tukio kubwa na la kushangaza kuhusu eneo hili ni kuzama na kupotea kwa ndege sita za jeshi la Marekani zilizokuwa zinafanya mazoezi na kupita eneo hili kwa bahati mbaya na mpaka leo hazijawahi kuonekana mpaka leo.

Mwenye kujua zaidi kuhusu hili anaweza kutupa lolote hasa kuhusu ni hasa kinachopelekea eneo hili kuwa hatari zaidi.
 
watafuta views wa yuutubu wamekuaminisha ni bahari ya shetani Basi jibu rahisi ni shetani ndo anayefanya yote hayo
 



Jaribu hapo...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom