Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda (Bermuda triangle)

Hii kitu nimeifatilia kwa muda kidogo. Kuna reported incidences nyingi zimetokea hapo. Ila scientifically ni kama hakuna proof ya existence of any phenomenon kusababisha hayo matukio. Ila meli na ndege kadhaa zimepotea hapo kimazingara
 
Kuna kipindi nilifuatilia sana, nikashangaa. Majanga yake hadi kwenye ndege zinaozopita pale kwa juu, ukijichanganya pale na ukatoka salama toa sadaka ya shukurani. Sina maelezo ya kisayansi ila ipo
ah aisee
 
Matukio ya kushangaza yalithibitishwa na wanamaji wa kiingereza Royal Navy wakati wa vita vya faulkland.kuhusu Whirpool kubwa za kumeza meli kubwa na mabaharia wake inawezekana.
 
Tafuta Uzi Wa LE MUTUZ alioutoa humu akizungumzia Maisha yake na uzoefu wake USA.

Ameelezea kuwa yy ni baharia na aliwahi kupita hapo Mara tatu akiwa Melini, na mabaharia wengi hawapendi kupita hapo hivyo hata wanaokubali kipato huongezwa.

Na mabaharia wote mnapewa mito maalumu ya kulalia iko mfano Wa jeneza,na meli eneo lile inatekwa na maji na kushikiliwa siku 3 mpaka 5 ndipo huachiwa na kuendelea na safari.

Itafute / mtafute utajifunza mengi.
 
Bermuda triangle ni eneo lililopo katika bahari ya Atlantic ocean ,eneo hili kwa jina lingine ni devils triangle na katika eneo hili chombo chochote kile cha usafiri wa anga au majini kikipita ni lazma kizame bila sababu yeyote ,kwa miaka mingi sana watafiti na wanasayansi wamejaribu kuchunguza kwa kina juu ya tatizo la ajari katika eneo la Bermuda triangle lakini hawajapata majibu yeyote mpaka wamefikia hatua ya kutoa onyo kwa marubani na manahodha ya kwamba wasipite katika eneo hilo kwa usalama wao ,watu wakiimani wamekuwa wakiamini kuwa eneo hilo ndio lango la kuzimu
 
Back
Top Bottom