Hii ndiyo pembetatu ya Bermuda(Bermuda triangle)

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
6,708
Points
2,000

BIGURUBE

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
6,708 2,000
Naombeni msaada kwa wenye ufahamu zaidi juu ya eneo la maajabu liitwalo Bermuda Triangle.

=======================================

Pembe tatu ya Bemuda ni eneo lililoko bahari ya Atlantiki ikiwa inapakana na Miami ,Bemuda na Puertorico sehemu ambapo meli na ndege nyingi zimepata kupotea katika mazingira tatanishi sana kiasi kwamba watu wameshindwa kuelezea na kujikuta akisema pana maajabu yasiyoelezeka.

katika mazingira hayo yasiyoelezeka na ya kutatanisha kuna moja ya U.S Navy bomber alipoteza uelekeo wa ndege na wakati anaruka kwenye neneo hilo na ndege haijawahi kupatiakana. baadhi ya boti na ndege na meli zimekua zikipotea kwenye eneo hili kwenye mazingira mazuri tu ya hali ya hewa hata bila kuripoti kwamba kuna tatizo la hali ya hewa hutokea tu ghafla. Pamoja na kuwa na nadharia kwamba eneo hilo ni la kuogopwa kutokana na kupotea huko kwa kutatanisha kwa baadhi ya vyomba vaya anga na majini bila kupatikana bado hakuna udhibitisho kwamba ni eneo hatari sana maana kila uchwao bado kuna vyomba vinakatiza eneo hilo salama salimini wa salamat bila kupatwa na maswahibu hayo ya kupotea.

WADAU WA BEMUDA WANASEMAJE

Sehemu hii inayoitwa pembe tatu ya bemuda au pembe tatu ya shetani (Devil’s Triangle) ina ukubwa wa laki tano squire miles ya eneo la bahari upande wa kusini mashariki wa jimbo la Florida marekani. kwa wanahistorial wanamklumbuka mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Christopher Columbus yeye anasema kwamba wakati amefika maeneo haya kwa mara ya kwanza ambapo inasemekana yeye ndio aliyegundua eneo la marekani aliripoti kwamba aliona moto mkubwa ukidondoka eneo hilo na inasadikika kwamba ni kimondo.

Anaendelea kwamba baada ya wiki kadhaa palitokea mwanga flani ambao yeye hakuelewa ni wa kitu gani ila wajuzi wa jiografia wanadai ni kimondo hicho. Pamoja na hayo amezungumzia masuala ya kusoma kompasi , ila wadau pia wakasema ni kwa kuwa eneo hilo ndipo kwa kipindi hicho ndipo sehemu chache Duniani ambapo True North na Magnetic North zinapita kwa pamoaja. Hapa kwa wanajiografia wanaelewa zaidi.

Kuna mdau mmoja anaitwa Joshua Slocum yeye alijipatia sifa ya kusafiri baharini mwenyewe ingawaje alipotea mwaka 1909 na inasadikiwa alipotelea kwenye pembe tatu ya bemuda wakti akiwa anaelekea marekani ya kusini kutokea Martha Vineyard.Ingawaje bado kulikua na utata kwamba alipotelea sehemu gani hasa lakini inasadikiwa alipotelea maeneo ya pembe hii yenye maajabu mengi kwenye ulimwengui huu.

William Shakespeare mwanamashairi na plays nguli na mahiri kwenye ulimwengu huu aliwahi kuongelea kwenye play yake “The Tempest,” ambapo wanazuoni wa masuala ya play wanasema alikua akizunguimzia eneo hilo la bemuda na kupotea kwa meli katika eneo hilo. Ingawaje haya yote hayakuteka jamii ya watu mpaka kwenye karne ya 20 ndipo jamii ilianza kuwa na wasiwasi na eneo hili.

Hii inapata uzito zaidi pale ndege meli ya marekani ya Navy ilipopotea ikiwa na USS Cyclop ikiwa na ukubwa wa 542 mita urefu na ilikua ya mizigo ikiwa na wanajeshi wa maji 300 na tani elfu kumi za manganese ilipozama maeneo ya karibu na Barbados and the Chesapeake Bay. Meli hiyo haikutuma mawasiliano yoyote pamaja pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya hivyo hamna mtu a najuaye ni nini kilichotokea kwenye meli na meli hiyo mpaka leo ni Mungu na bahari tu ndio wanaelewa kilichotokea.

Baadae aliyekuwa Rais wa Marekani Woodrow Wilson wakati huo alikuja kudhibitisha kwamba meli mbili ndogo zilizoambatana na meli hiyo kubwa na zenyewe zilikuja kupotea maeneo hayo hayo mwaka 1941.

mfululizo wa kupotea baadhi ya vyombo na vingine kukutwa vimetelekezwa ndio hasa unaowatisha watu kuhusu eneo hilo . Mwaka 1945 five ne navy bombers zilizokua zimebeba watu 14 zikitokea Fort Lauderdale. Hizi zilikuwa zimepelekwa huko kwa ajili ya mazoezi na wanajeshi ila cha kushangaza zilikutwa zimetelekezwa. Inasadikiwa kwamba Compas ya kiongozi wa msafara huo ilishindwa kufanya kazi na wenyewe kujikuta wamepotea baada ya kuzunguka na kuishiwa mafuta na hata hivyo ndege iliyotumwa kwa ajili ya uokozi na yenyewe ilipotea ikiwa na watu 13 ndani. waliwatafuta bila mafaniio na mwishoni wakahitimisha kwamba ilipotea kana kwamba immeelekea sayari ya Mars.

Kwa wale wanaopenda kujua matukio mbalimbali, basi watakuwa wanaifahamu vyema historia ya bermuda triangle.

Tangu mwaka 1945, zaidi ya meli 100 zimeshazama na vifo vya watu zaidi ya 1,000 vimeshatokea katika eneo hili ambalo ni maarufu sana kwa vyombo vya safari kupita. Pia ni eneo ambalo linasifika sana kwa kubadilika kwa hali ya hewa kwa haraka na bila kutarajiwa.

Matukio mengi yalitokea katika kipindi cha miaka ya 1940 - 1960, nayo yalihusu upoteaji wa kiajabu wa vyombo vya usafiri hasa ndege na meli.

Mwaka 1944, Dick Stern alikuwa anaruka na ndege ya kivita eneo hili, ghafla ilipoteza uelekea kwa muda na ikawa inaelekea kuanguka Bahari ya Atlantiki, lakin baadaye iliweza kutulia yeneyewe na kuendelea na safari vizuri. Na katika miaka ya 60 alipita tena eneo hilo akiwa na mkewe katika ndege ya kawaida wakapata msukosuko mkubwa.

Kwenye miaka ya 1945, 1958, 1964 na 1967 kuna ndege zilipotea tena katika eneo hilo ambapo mabaki yake hayakuweza kupatikana kabisa. Kuna baadhi ya marubani ambao waliwahi kuripoti kabla ya kupotea au kuokoka kwamba rada zao zilikupoteza uelekeo na kiasi kwamba wakashindwa kujua wako wapi, kuna mmoja aliripoti kuongezeka kwa kasi ya kwenda kwa ndege na kila kitu kikapoteza control, na baadaye vikarudi sawasawa

Pia kuna rubani mmoja wa ndege ndogo alitaka kutua eneo hilo, lakini alipofika sehemu aliyotaka kutua, hakuiona ilhali watu waliokuwa chini walikuwa wanamuona na kumshangaa akizunguka tu hewani na kisha kuondoka. Baadaye alikiri kuzunguka juu baada ya kutokuona sehemu aliyotaka kutua wakati compass yake ilimuonyesha ameshafika.

Meli amabazo zimekumbwa na misuko sehemu hiyo zimekuwa zikiripotiwa kukutana na mvutano wa ajabu wa kwenda chini na mwishowe kuzama, au kukutana na machafuko ya bahari ya ghafla.
Kuna baadhi ya wafanyakazi wa meli walio okolewa waligeuka na kuwa vichaa!

Kituko cha funga dimba ni kile kilichoripotiwa mwaka 1967 kutoka kwa watu waliokuwa kwenye meli ya Elizabeth I pale waliposhuhudia ndege ndogo ikiwa mita chache kutoka walipo ikipotea ghafla ikiwa inaruka!!!!

Maajabu makubwa ambayo tutayaongelea, KWANZA ni kupotea kwa ndege nyingi ambazo zimepita katika anga la eneo hilo PILI ni kupotea kwa meli nyingi zinazopita katika eneo hilo. na kubwa zaidi ni kutopatikana kwa taarifa yoyote kuhusu mahali ambapo meli na ndege hizo huelekea baada ya kupotea. Swali kubwa linalozuka ni Je ninini chanzo kikubwa cha kupotea kwa vyombo hivyo? kwa miaka mingi iliyopita chanzo chake hakikujulikana, lakini katika uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na kituo kikubwa ulimwenguni cha uchunguzi wa anga NASA, inahisiwa kuwa eneo hilo limezungukwa na nguvu za usumaku zinazofanya kutokea kwa nguvu kubwa ya uvutano inayovuta kitu chochote kinachopatikana eneo hilo au katika anga la eneo hilo

Pia inahisiwa kuwa katika eneo hilo kuna kemikali ya METHANE iliyoyeyuka na kuchangamana na maji hayo jambo linalofanya maji ya eneo hilo kutokuwa na uwezo wa kuhimili uzito wa meli katika eneo hilo, swali ni je kuna uhusiano gani kati ya upotevu wa ndege na uwepo wa kemikali katika maji..

Jamani hili eneo hadi wameliita pembe tatu ya shetani au mlango wa kuzimu kuna nini hapa panapopelekea hadi meli na ndege kubwa kuzama na zaidi zikizama hazijulikani zinaenda wapi,? Mara hii sehemu tunaambiwa ALIENS wanakaa eneo hili kwaio sababu wao wana teknolojia isiyoweza kushindanishwa na za huku duniani wanasema inawezekana pia kitu chochote kinachopita eneo.hilo kinashindwa kuhimili hio nguvu ya teknolojia yao kwaio inapelekea wao kuzichukua kwa sababu zao au kuzitokomeza.

View attachment 657810

Kiukweli hii sehemu ina utata sana tena sana kwani kuna matukio mengi yameshatokea maeneo haya mpaka sasa dunia haijapata jawabu ni nini kilichopo eneo hilo. Baadhi ya majina ya hili eneo ni Dragons Triangle, Devil's triangle,
Mfano , kuna matukio ya ndege nyingi kupotea mazingira ya kutatanisha kama ile ya Malaysia ilivyopoteaga. Mfano ni ndege ya Ufaransa ijulikanayo kama Airbus Flight 815.

"basically, a flight across the Pacific was brought down by a large electrical magnetic energy pulse (EMP), which was later found to be a released from "The Island". It brings to mind the natural points of energy or chakras on the planet"

Il kuielewa hii kitu kuna tafasiri za kidhana zilizobuniwa na wataalamu kadhaaa katika kuchanganua mauza uza ya hili eneo.

1.Electromagnetism: The Bermuda Triangle is one of two places on Earth (the other is off of the east coast of Japan), where a compass actually points to true north. This disruption in the magnetic field can be confusion is unexpected. Normally a compass will point towards magnetic north and can differ by up to 20 degrees. If the change is not corrected, a navigator can get lost easily.

2.Meteorology and the Gulf Stream: This region is the source where many tropical storms and hurricanes develop. The warm water oceanic flow of the Gulf Stream can greatly influence storm paths as well as the water and air currents in the vicinity. This can overcome many efforts by ships and planes to compensate if captains and crew members are not prepared.

3.Topography: The Mid-Atlantic Ridge is a mountain range on the ocean floor that is the highest in the world. That means the deepest trenches are found here as well. This topography can affect the density and salinity of the ocean, resulting in changeable currents without notice. The ridge and trenches are also a source of geologic activity. Methane vents have been described to release large bubbles that rise to the ocean surface. The bubbles can create whirl pools, as well as changes in air density above the ocean surface. Sea or aircraft, in theory, could be greatly disrupted and therefore lost.

Baadhi ya mifano ya ajali za ndege ambazo zisha wahi tokea eneo hilo na kuzua kizungumti hapa duniani ni kama zifuatazo ,
 
Offline User

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
3,849
Points
2,000

Offline User

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
3,849 2,000
The Bermuda Triangle, also known as the
Devil's Triangle, is a loosely defined region in
the western part of the North Atlantic Ocean,
where a number of aircraft and ships are said
to have disappeared under mysterious
circumstances. According to the US Navy, the
triangle does not exist, and the name is not
recognized by the US Board on Geographic
Names.[1] Popular culture has attributed
various disappearances to the paranormal or
activity by extraterrestrial beings.[2]
Documented evidence indicates that a
significant percentage of the incidents were
spurious, inaccurately reported, or embellished
by later authors.[3][4][5] In a 2013 study, the
World Wide Fund for Nature identified the
world’s 10 most dangerous waters for shipping,
but the Bermuda Triangle was not among
them.

Triangle area
The first written boundaries date from an
article by Vincent Gaddis in a 1964 issue of the
pulp magazine Argosy,[7] where the triangle's
three vertices are in Miami, Florida peninsula;
in San Juan, Puerto Rico; and in the mid-
Atlantic island of Bermuda.[4] But subsequent
writers did not follow this definition.[4] Some
writers give different boundaries and vertices
to the triangle, with the total area varying from
1,300,000 to 3,900,000 km2 (500,000 to
1,510,000 sq mi).[4] Consequently, the
determination of which accidents have
occurred inside the triangle depends on which
writer reports them.[4] The United States
Board on Geographic Names does not
recognize this name, and it is not delimited in
any map drawn by US government agencies.[4]
The area is one of the most heavily traveled
shipping lanes in the world, with ships crossing
through it daily for ports in the Americas,
Europe, and the Caribbean Islands. Cruise ships
are also plentiful, and pleasure craft regularly
go back and forth between Florida and the
islands. It is also a heavily flown route for
commercial and private aircraft heading
towards Florida, the Caribbean, and South
America from points north.
 
MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
11,136
Points
2,000

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
11,136 2,000
Kiukweli hii sehemu ina utata sana tena sana kwani kuna matukio mengi yameshatokea maeneo haya mpaka sasa dunia haijapata jawabu ni nini kilichopo eneo hilo. Baadhi ya majina ya hili eneo ni Dragons Triangle, Devil's triangle,
Mfano , kuna matukio ya ndege nyingi kupotea mazingira ya kutatanisha kama ile ya Malaysia ilivyopoteaga. Mfano ni ndege ya Ufaransa ijulikanayo kama Airbus Flight 815.

"basically, a flight across the Pacific was brought down by a large electrical magnetic energy pulse (EMP), which was later found to be a released from "The Island". It brings to mind the natural points of energy or chakras on the planet"

Il kuielewa hii kitu kuna tafasiri za kidhana zilizobuniwa na wataalamu kadhaaa katika kuchanganua mauza uza ya hili eneo.

1.Electromagnetism: The Bermuda Triangle is one of two places on Earth (the other is off of the east coast of Japan), where a compass actually points to true north. This disruption in the magnetic field can be confusion is unexpected. Normally a compass will point towards magnetic north and can differ by up to 20 degrees. If the change is not corrected, a navigator can get lost easily.

2.Meteorology and the Gulf Stream: This region is the source where many tropical storms and hurricanes develop. The warm water oceanic flow of the Gulf Stream can greatly influence storm paths as well as the water and air currents in the vicinity. This can overcome many efforts by ships and planes to compensate if captains and crew members are not prepared.

3.Topography: The Mid-Atlantic Ridge is a mountain range on the ocean floor that is the highest in the world. That means the deepest trenches are found here as well. This topography can affect the density and salinity of the ocean, resulting in changeable currents without notice. The ridge and trenches are also a source of geologic activity. Methane vents have been described to release large bubbles that rise to the ocean surface. The bubbles can create whirl pools, as well as changes in air density above the ocean surface. Sea or aircraft, in theory, could be greatly disrupted and therefore lost.

Baadhi ya mifano ya ajali za ndege ambazo zisha wahi tokea eneo hilo na kuzua kizungumti hapa duniani ni kama zifuatazo ,
 
Attachments:

 • File size
  141.8 KB
  Views
  524
 • File size
  3.4 KB
  Views
  481
 • File size
  9.3 KB
  Views
  474
 • File size
  8.6 KB
  Views
  1,794

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,266
Points
2,000

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,266 2,000

Hii picha hapa uliyoiweka ni ya kwenye Series inayoitwa Lost

Kwanini unaleta mambo ya kwenye Muvi hapa?
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,961
Points
1,500

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,961 1,500
Hii picha hapa uliyoiweka ni ya kwenye Series inayoitwa Lost

Kwanini unaleta mambo ya kwenye Muvi hapa?
Aisee huyu jamaa amesababisha hata maelezo yake aliyoyatoa hapo niyaone kuwa ni ya uongo.
Analeta picha za muvi alafu anatwambia eti hizo ni baadhi ya ajali zilizotokea katika hiyo triangle.
 
Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,266
Points
2,000

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,266 2,000
Aisee huyu jamaa amesababisha hata maelezo yake aliyoyatoa hapo niyaone kuwa ni ya uongo.
Analeta picha za muvi alafu anatwambia eti hizo ni baadhi ya ajali zilizotokea katika hiyo triangle.
Huyo jamaa inawezekana ni kati ya wale ambao wakiona kitu kimesemwa kwenye Internet wanakimeza tu

Anatuletea mambi ya kwenye muvi hapa

Angalia zingine hizi hapa ... 

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,266
Points
2,000

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,266 2,000
Nlijua tu
Tatizo watu wanashindwa kutofautisha story za kwenye mitandao na vitu halisi

Watu wamekuwa wepesi sana kudanganywa

Ndio maana Mkuu wa chuo aliwahi kusema kuwa watu tunahitaji tutumie muda kutafiti hadi kufukia kuamini kuwa hiki ni ukweli na hiki ni uongo

Watu tunameza tu ....!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
7,263
Points
1,500

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
7,263 1,500

Dah! mtu anakurupuka anatuletea stori za kwenye movies, halafu anaweza akaja kubisha kabisa, amechukua li dude kwenye net anali paste tu, hata hajalifanyia utafiti vizuri, watu wengine wakiona kitu kwenye internet wanajua vitu vyote kwenye internet ni vya kweli havina mawaa...
 
Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,266
Points
2,000

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,266 2,000
Dah! mtu anakurupuka anatuletea stori za kwenye movies, halafu anaweza akaja kubisha kabisa, amechukua li dude kwenye net anali paste tu, hata hajalifanyia utafiti vizuri, watu wengine wakiona kitu kwenye internet wanajua vitu vyote kwenye internet ni vya kweli havina mawaa...
Mkuu we acha tu watu wanatakiwa wawe wanakuwa makini angalau hata kidogo

Ukiona jambo kwenye website moja kagua kwenye website nyingine uone watu wanasemaje

Sio kuona kwenye website moja tu halafu unaruka nayo!!
 
Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
7,263
Points
1,500

Mkuu wa chuo

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
7,263 1,500
Mkuu we acha tu watu wanatakiwa wawe wanakuwa makini angalau hata kidogo

Ukiona jambo kwenye website moja kagua kwenye website nyingine uone watu wanasemaje

Sio kuona kwenye website moja tu halafu unaruka nayo!!
Halafu mtu anaweza akafanya hivyo, anakuja anajigamba kabisa huu hapa uthibitisho...
 
Forum statistics

Threads 1,343,286
Members 515,003
Posts 32,779,057
Top