TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 866
ayo mambo yalifanya niwe naendesha gari ya mama kipindi niko mwanafunzi
gari gani??
ayo mambo yalifanya niwe naendesha gari ya mama kipindi niko mwanafunzi
gari gani??
mojawapo ni Hummer
nilijua tu....una asili ya UHAYA?
nilijua tu....una asili ya UHAYA?
Why on earth would you feel inferior?Unahitaji tuapriate ua tusjisikie inferior au niaje niaje?! I dont get the point.
Ikiwa Wanafunzi wana magari ya kifahari namna hiyo je kuna Mwanafunzi anayesoma kweli hapo? au wanakwenda Picknick? Kujirusha wanafunzi.
Ndo maana hutumii maana umepata maharifa mmh,cheti cha darasa la tatu
more pics...
more...
A Rolls-Royce, a Ferrari and a black Aston Martin,Bentleys, Range Rovers etc. ni za kumwaga,sijui wanafunzi wa Bongo inakuaje?
wengine vyuo tulivyosoma karibu kila mwanafunzi ana usafiri
majuu kuna raha yake sana,pia nyumban kuna raha yake pia
KABISA MKUU...Mbona hata mabibo hostel yanapaki madude zaidi ya hayo
nyie watanzania vip umeulizwa swali umejibiwa cha ajabu unaleta ukabila usifikiri kila mtu ana kabila hapa. mimi sina kabila lolote
hapana mkuu sina ukabila ila majibu yako na post zako zinashabihiana sana na WAHAYA.....
kwani wahaya wakoje?
wanaji-express kama wewe....usimind mkuu tunafurahisha baraza tu...sasa hivi una push nini??au bado una hummer ya mama.....?
[/COLOR]
nikisema gari ninayoendesha sasa hivi,sijui utaniambia mi kabila gani
haya mkuu mchana mwema.........