Hii ndiyo parking ya magari ya wanafunzi wa American university of Dubai,ebu ona magari ya wanafunzi

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000

more pics...
more...
A Rolls-Royce, a Ferrari and a black Aston Martin,Bentleys, Range Rovers etc. ni za kumwaga,sijui wanafunzi wa Bongo inakuaje?
wengine vyuo tulivyosoma karibu kila mwanafunzi ana usafiri
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,675
2,000
Ikiwa Wanafunzi wana magari ya kifahari namna hiyo je kuna Mwanafunzi anayesoma kweli hapo? au wanakwenda Picknick? Kujirusha wanafunzi.

 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Ikiwa Wanafunzi wana magari ya kifahari namna hiyo je kuna Mwanafunzi anayesoma kweli hapo? au wanakwenda Picknick? Kujirusha wanafunzi.kusoma ili kupata cheti tu kutengeneza CV na kukiweka kwenye kabati,na kuendelea na mambo yako,mfano mimi cheti changu na miaka 3 sijawai kukiona kipo kwenye bahasha na ndani ya droo,sina matumizi nacho
 

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,953
2,000
Pesa ikiwepo bana utajua tu show off nyingi......israf.....

Kweli kbs, hiyo kawaida sana kwa nchi za wenzetu! Ila sisi Tz ni wazalendo, tunajali mazingira ndio mana tunaenda kwa mguu/daladala

Mi mimeshangaa yani watoto kwenye public bus wametoka shule wako na iPhone 5s? Wanachezea game kila mtu na yake, hapo wana iPads... mweeeeee!! Huu uchumi ungekuwa tz sijui ingekuaje!
 

MOSSAD II

JF-Expert Member
Apr 14, 2013
3,972
1,195

more pics...
more...
A Rolls-Royce, a Ferrari and a black Aston Martin,Bentleys, Range Rovers etc. ni za kumwaga,sijui wanafunzi wa Bongo inakuaje?
wengine vyuo tulivyosoma karibu kila mwanafunzi ana usafiri
sidhani kama kwa mwanafunzi kuwa gari chuoni ni kosa kwani wengine wamezaliwa wanayakuta na wanajua ni maisha ya kawaida! tatizo linakuwa kwa malimbukeni tu!!
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
sidhani kama kwa mwanafunzi kuwa gari chuoni ni kosa kwani wengine wamezaliwa wanayakuta na wanajua ni maisha ya kawaida! tatizo linakuwa kwa malimbukeni tu!!

kwa nchi zilizoendelea ni kawaida ila kwa nchi masikini si jambo la kawaida
 

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,429
2,000
Wao wanaongeza cv tu ila sisi watz tulio wengi tunasoma ili kutafuta ajira na kuongeza ka cv pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom